Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?