Nukuu ya nyerere ambayo inasemaje?Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.
Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
Huyu jamaa atakua kilaza hata mimi nilitegemea aiweke hapaNukuu ya nyerere ambayo inasemaje?
Ungeiweka hapa wengine hatujapata wasaa wa kusikiliza huo mkutano wa tundu antipas lissu na waandishi wa habari
😂😂😂😂😂😂Walijaa maswali ya kijinga an ya kiccm tupu
Waliandaliwa hao na lumumba lakini kwa upande mwingine wamesaidia Lissu kutoa clarifications za hoja za upotoshaji zinazoendekezwa na maccm.Walijaa maswali ya kijinga an ya kiccm tupu
Wanaoumia ni CCM.Lissu kajieleza vizuri
Nyerere ana nukuu nyingi sanaa za maana.Mimi naona wewe ndiye mjinga na mweupe ambaye umeshindwa hata kuweka hiyo nukuu.Inaobekana umechanganyikiwa kabisa
kwanza waliokuwepo ukumbuni ni wanachama na ndio walioshangilia sio waandishi ila sema hujapendezwa na waandishi kwenda kwenye press ya lissu! roho inakuhangaika! Pili sio lazima mwandishi wa habari ujue kila kitu at the same timeKitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.
Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
95% ya wanaojiita waandishi wa habari wa Sasa wala sio waandishi wa habari bali ni watu waliojipachika jina la "uandishi wa habari" lakini ni makanjanja tu wanaotumia fursa ya "uandishi wa habari" kupata rushwa za watawala wa CCM.Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??