Kwenye press ya Lisu nimejiridhisha kuwa waandishi wengi ni weupe kichwani, waliposhangilia nukuu ya Nyerere.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??

Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.

Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
 
Nukuu ya nyerere ambayo inasemaje?
Ungeiweka hapa wengine hatujapata wasaa wa kusikiliza huo mkutano wa tundu antipas lissu na waandishi wa habari
 
Kuna siku nimecheka mwenyew,nilkuwa nasikiliza redio,kuna watangazaj walikuwa wanamhoji mmama wa kitanzania anafundisha kiswahili vyuo vikuu na vya jeshi huko uganda

Akawauliza kama wanajua historia ya kiswahili kilipoanzia kwa hapa east afrika,hata hawakuweza kumjibu huyo mama zaidi ya kumwambia aseme mwenyew
 
Mimi naona wewe ndiye mjinga na mweupe ambaye umeshindwa hata kuweka hiyo nukuu.Inaobekana umechanganyikiwa kabisa
Nyerere ana nukuu nyingi sanaa za maana.

Kuna moja inasema..""watu wengi wanailaumu serikali ooh haijafanya hivi haijafanya vile...mtu akikosa huduma ya afya atailaumu serikali, mtoto wake akirudishwa ada atailaumu serikali.....Mtu akikosa mboga/ chakula nyumbani kwake atailaumu serikali....mtu akiwa maskini anailaumu serikali... akaendelea kusema HAKUNA KITU KINA LAUMIWA KAMA SERIKALI

Zipo nukuu nyingi sanaaa
 
Ipi itainufaisha CCM, ni Lissu akiwa mwenyekiti au akiondoka Chadema?
 
Mwandishi wa habari anatakiwa kuwa nyutro, ili afanye fair reporting.

Sasa majitu ya hovyo kama yule Marwa wa JAMBO, na macho yake yamevimba kama ameumwa na nyuki
 
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??

Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.

Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
kwanza waliokuwepo ukumbuni ni wanachama na ndio walioshangilia sio waandishi ila sema hujapendezwa na waandishi kwenda kwenye press ya lissu! roho inakuhangaika! Pili sio lazima mwandishi wa habari ujue kila kitu at the same time
 
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??

Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.

Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.
95% ya wanaojiita waandishi wa habari wa Sasa wala sio waandishi wa habari bali ni watu waliojipachika jina la "uandishi wa habari" lakini ni makanjanja tu wanaotumia fursa ya "uandishi wa habari" kupata rushwa za watawala wa CCM.

Yaani, in short si waandishi hawa Bali machawa tu wa serikali na CCM kwa sababu wengi ni mabumbumbu wa maarifa na hawana professional morals za uandishi wa habari....

Hata waliohudhuria PC ya Tundu Lissu leo, wengi ni wale wa viblog na YouTube channels ambao hata kusoma tu kilichokwisha kuandikwa tayari hawawezi....

Wewe umeshawahi kuona wapi mwandishi wa habari aliyehitimu kidato cha nne, akaenda Buguruni Malapa, akafundishwa kuongea tu kidogo na kushika camera, akaenda kuanzisha YouTube Channel au Blog halafu huyohuyo anakwenda kumhoji mtu kama Tundu Lissu mwanasheria na msomi, mwenye maarifa mengi kuhusu siasa za Tanzania na dunia, sheria za nchi na za kimataifa...?

Obvious, atachemka tu zaidi ya kuanza kuuliza habari za Makonda...
 
Back
Top Bottom