Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii inathibitusha kuwa waandishi wengi wa sasa ni makanjanja waliojikita kwenye mastori ya umbea, uchawa, connection na mpira wa Simba na Yanga.
Wakiingia kwenye mitandao hawajisomei masuala muhimu ya kisiasa na kiuchumi. Na pia hawasikilizi ama kutazama vipande vya hotuba za wanasiasa kama Nyerere na wengineo.