Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Kanisa Anglikana ishu mara nyingi huwa rasilimali chache, zikipatikana watu wanabunya Hadi aibu
 
YESU ALIHUBIRI UFALME WA MUNGU, NA SI TAMADUNI ZA KANISA FLANI
JE NI UTAMADUNI WA KANISA KUMSIMAMISHA UCHUNGAJI MTU BILA KUTOA TAARIFA YA SABABU NI NINI?
KWA SASA KIMARO NI MAARUFU KULIKO KANISA LENYEWE

Maarufu kuliko Nini? Hata piere Liquid aliwahi kuwa maarufu.
 
YESU ALIHUBIRI UFALME WA MUNGU, NA SI TAMADUNI ZA KANISA FLANI
JE NI UTAMADUNI WA KANISA KUMSIMAMISHA UCHUNGAJI MTU BILA KUTOA TAARIFA YA SABABU NI NINI?
KWA SASA KIMARO NI MAARUFU KULIKO KANISA LENYEWE

Utamaduni maana Taribu na kanuni. Kama kanisa halitumii mafuta na maji, huwezi kulazimisha watumie.
 
Wasabato wapo sawa sana kwa upande wa makanisa nayoyafahamu ya zamani ila haya mengine Mungu ndio anajua daah ujanja ujanja mwingi sana huyu Malasusa ndio alikua chanzo cha migogoro KKKT kastaafu ila bado anaendelea na ile ile miguu...watatoka Kijitonyama watatulia wataamia sehemu ingine tuombe uzima tu..
 
Mtoa mada una lolote kuhusu upende usipende na kupangiwa mchango?
 
Black ....
Acha kulisagia kunguni kkkt ya dayosi ya kazkasini Kati kwa kusema Ni makabila nenda Moshi dayosi ya kazkasin ndio ujue ukabila uko VIP achaaa kbsa mkuuu

Hkn mchungaji wa kabila lingine wote Ni wachaga tupu

Nenda mbeya utakuta wachungaji wote Ni wanyakyusa tupu Sasa unavyo Seema wanawekana wamasai na waarusha alfu unarnda sehem nyingine Hali Ni ile ile

Tatizo bwana black...hujatembee umezalia Hapo Arusha na Huna exposure kubwa

Kama VIP nenda kwa geordavie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mkuu umelazimishwa kutoa michNgo Yao wew nenda kanisani bhna kamuabudu mungu ,watu na michango Yao achanao kwani hawalazimishi na Kama umebarikiwa wape mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Exactly naka....

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
wakati wa kuwaaga:alikua analia wakati akiwaombea kondoo wake, kilichokua kina mliza ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…