Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Yalikuwepo ,yapo ,yatakuwepo. Hakuna jipya. Hili nalo litapita tu
 
wakati wa kuwaaga:alikua analia wakati akiwaombea kondoo wake, kilichokua kina mliza ni nini?
Kulia ni shida wangapi tunaowaaga tunalia na wao wanalia. Ndivyo ulivyo upendo kwa wale uwapendao. Unachotaka kukimaanisha ni kipi kwamba much. kimaro analilia usharika wake?
 
Kwani mkuu umelazimishwa kutoa michNgo Yao wew nenda kanisani bhna kamuabudu mungu ,watu na michango Yao achanao kwani hawalazimishi na Kama umebarikiwa wape mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Silazimishwi hata kidogo kuchangia michango. Lakini ifike pahala tuambiane UKWELI. Kama wakristo tunahitaji mapinduzi katika jumuiya na sharika zetu. Tuone mabadiliko chanya katika uinjilishaji na kwakutokuogopa mtu, Chris na nafasi ambayo mtu fulani anayo. Mpaka sasa sioni kosa la mchungaji. Ametii mamlaka yake, ametii maagizo ya mamlaka yake, nini shida kwa Mchungaji? Je ameeitisha maandamano ya waumini? Kwanini hukumu hii kwa Mchungaji
 
Sijalisagia kunguni kabisa UKWELI lazima usemwe tuache mambo ya kujipendekeza. Huku niliko iko shule ya KKKT imefilisiwa, Mali zake wamegawana viongozi wa kabisa. Walikopa waumini tunalipishwa. Mkuu wa jimbo anataka gari la ml400. Wachungaji wanaotaka mabadiliko ndani ya kabisa hawana muda mrefu KKKT.
 
Kanisa lenu la magomeni pale mataa
Na lile la kinondoni mahakamani mbona hazikamiliki [emoji1]

Ova
Makanisa yao yanakamilika kwa tabu sanaa, kkkt huwa kuna wahujumu uchumi wa kutosha 🤣
 
Walioandamana sio walutheri kabisa bali wale kutoka makanisa mengine waliokuja knyama kwa ajili ya kimaro
 
Taj Taja makanisa yanao ongozwa na waarusha - Arusha.....
 
shida ipo hapo unapofwata mno taratibu za kanisa kuliko kufuata taratibu za Roho Mtakatifu ndio maana unasimama na askofu.....
kkkt ni kanisa la matengenezo mpingeni sana leo kimaro kesho mtakuja kwa maksai, lkn jua ni lazima siku moja kanisa likae sehem salama na sio mahali ambapo watu kadhaa wanafanya dhambi kwa kujificha huku wakiwa ni wakuu wa kanisa na wanachukia kuambiwa...
 
YESU ALIHUBIRI UFALME WA MUNGU, NA SI TAMADUNI ZA KANISA FLANI
JE NI UTAMADUNI WA KANISA KUMSIMAMISHA UCHUNGAJI MTU BILA KUTOA TAARIFA YA SABABU NI NINI?
KWA SASA KIMARO NI MAARUFU KULIKO KANISA LENYEWE
Unachotaka ni kkkt isiwepo, Kila Mchungaji afuate taratibu zake! Mbona rahisi, unaondoka unaanzisha kanisa lako, unaliendesha kwa taratibu zako. Usiharibu taratibu zilizojengwa kwa muda mrefu! Kama vipi toa mapendekezo yako kwenye vikao.
 
Kulia ni shida wangapi tunaowaaga tunalia na wao wanalia. Ndivyo ulivyo upendo kwa wale uwapendao. Unachotaka kukimaanisha ni kipi kwamba much. kimaro analilia usharika wake?
hahaha na pesa inaliliwa ohoo
 
Sasa unateseka nini? Wakasi siyo mlutheri!
 
 

Attachments

  • 5155827-734a386493bc5ca1b051839e610e2fb4.mp4
    7.5 MB
Haki itendeke. Hizo mbanga zungekua masjidi Kuna watu wangechapwa bakora hadharani
 
Hivi hata watu kama akina Malasusa wanapata watu wa kusimama nao?!…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…