Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

Leo kijiweni habari ni game ya yanga na al ahly na update za Manyara huyo unayemsema hata hajaskika
 
Hivi Mungu ni mtani wenu au?
 
Hapo chini ungemalizia kwa kutupia kanamba ka simu ili teuzi zikitoka upate kukumbukwa
 
Leo kijiweni habari ni game ya yanga na al ahly na update za Manyara huyo unayemsema hata hajaskika
ndio na kwambia sasa...

Mambo yanayojadiliwa pale ni mengi mno, linalotrendi sana ni hili la Dr Samia Suluhu Hassan kisha hayo mengine hufata


actually alianza kujadiliwa na tangu kitambo sana na kwakwelia anaendelea kujadiliwa sana , na nadhani hii itaendelea hadi vijana hawa watakapompigia kura kwa wingi sana huyu Mama Oct 2025....
 
Muhimu ni ule uchumbe wametoa wale wa ungwana dhidi ya Dr.SSH...

Inafurahisha sana kuthibitishiwa na vijana wanaojitambua kwamba wafanya bidii wale wako na Mama, wanaimani na mama na 2025 kwenye debe watawonenyesha kivumbi vibaraka wa mabwenyenya
Hicho chama sio Cha vijana ni Cha kizazi kilichopita. Chawa acha kula hela ya chama kwa research fake.
 
Sio Vijiweni tuu Bali Africa na Dunia, habari ya mjini ni Samia.

Machadema yatajifanya yamesahau jinsi mtandao ulitikiswa kule India na Samia.

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1731200952579883055?t=WklAp1_KwI5MBGKbIWiIlA&s=19
 
Hicho chama sio Cha vijana ni Cha kizazi kilichopita. Chawa acha kula hela ya chama kwa research fake.
Mzee for your information,
Hiki chama sio cha vijana, wazee, wanawake au wanaume pekee. Wala si cha generation ile au hii. Hiki chama ni cha wananchi na waTanzania wote bila kujali, dini, rangi au mahali unakotoka. Hakiintertain ubaguzi hata sekunde mojo...

Ni chama kinachojali utu na heshima ya kila mwanadamu. Na wanachama wote ni sawa...

Tafiti imeendraaaa vizuri sana jomba ....unaambiwa huko duniani wanamuamini sana Dr Samia Suluhu Hassan kuisaidia Africa....
 
Ratiba ya Samia Iko busy kuliko kawaida,Kila Kiongozi huko ughaibuni anatamani kuongea nae
wanatamani wabaki nae dah 😅

yaani for sure, huyu muMama anaonekana na kuaminika kama solution ya changamoto za Africa yaani . And she is able leader
 
Narudia tena, hicho ni chama Cha wazee, vijana walioko humo ni aidha mazombie, au wasaka fursa. Na Kiko madarakani Hadi sasa kwa sababu za kihostoria na mbeleko ya vyombo vya Dola. Siku inatoka madarakani ipe miezi 6 tu itafufutika, maana watakaokipigania ni wazee na wao hawana nguvu tena.
 
ndoto zako za usingizi wa kwenye daladala 🤣
 
Kwani Tanzania ni Dar es Salaam pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…