Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mungu ni mtani wenu au?Atakayechukua Fomu Kushindana na Rais Samia atavuna aibu na kulaaniwa na watanzania. mtu yeyote Asithubutu kuchukua Fomu Kushindana na Rais samia maana aibu atakayoipata kwa hakika atazimia na kupoteza fahamu.
Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali cha kuongoza Taifa letu.
Hapo chini ungemalizia kwa kutupia kanamba ka simu ili teuzi zikitoka upate kukumbukwanikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana kwenye kuchukua maamuzi magumu na hatua za kuwaletea wananchi uhuru, haki na maendeleo.
Wanadai mama amefungua nchi, fursa zipo na zinaonekana saivi na pesa inapatikana kwa wenye kuchapa kazi kwa bidii na inaonekana.
Ubora wa maisha na urahisi wake, unapanda na kuongezeka siku hadi siku. Wangwana na watafutaji hawa wasiochoka wala kukata tamaa, kwakweli wanafurahia na kunufaika kwa jitihada na hatua mbalimbali za kiuchumi anazochukua Raisi.
Wadau wanafunguka zaidi kwamba nchi ni tulivu mno, haijawahi kutokea. Ulinzi na usalama wa mipaka, mali na raia ni wa uhakika sana nchini. Amani imetawala pote Tanzania.
Hii ni sehemu ndogo tu ya makundi mengi sana wanaofurahia na kunufaika na mipango ya serikali ya Dr Samia mthalani bodabodas, mabajaji, madaladala nk.
Wanadai 2025 kama huyu muMama atagombea, basi uhakika wa kura zao ni asilimia 100%. Wanashauri watoa taarifa na wengineneo bora wakafanye mambo mengine lakini sio uongozi wa nchi hii wakati huu.
Kiufupi huyu muMama anapendwa sana na anakubalika mno vijiweni.
Kupambana na huyu mama ni kupoteza muda.....
Wacha tusubiri,
Time Will tell.....
Huzi wa ajabu ila ziwezi kushangaaWapime akili.
ndio na kwambia sasa...Leo kijiweni habari ni game ya yanga na al ahly na update za Manyara huyo unayemsema hata hajaskika
Hicho chama sio Cha vijana ni Cha kizazi kilichopita. Chawa acha kula hela ya chama kwa research fake.Muhimu ni ule uchumbe wametoa wale wa ungwana dhidi ya Dr.SSH...
Inafurahisha sana kuthibitishiwa na vijana wanaojitambua kwamba wafanya bidii wale wako na Mama, wanaimani na mama na 2025 kwenye debe watawonenyesha kivumbi vibaraka wa mabwenyenya
Sio Vijiweni tuu Bali Africa na Dunia, habari ya mjini ni Samia.nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana kwenye kuchukua maamuzi magumu na hatua za kuwaletea wananchi uhuru, haki na maendeleo.
Wanadai mama amefungua nchi, fursa zipo na zinaonekana saivi na pesa inapatikana kwa wenye kuchapa kazi kwa bidii na inaonekana.
Ubora wa maisha na urahisi wake, unapanda na kuongezeka siku hadi siku. Wangwana na watafutaji hawa wasiochoka wala kukata tamaa, kwakweli wanafurahia na kunufaika kwa jitihada na hatua mbalimbali za kiuchumi anazochukua Raisi.
Wadau wanafunguka zaidi kwamba nchi ni tulivu mno, haijawahi kutokea. Ulinzi na usalama wa mipaka, mali na raia ni wa uhakika sana nchini. Amani imetawala pote Tanzania.
Hii ni sehemu ndogo tu ya makundi mengi sana wanaofurahia na kunufaika na mipango ya serikali ya Dr Samia mthalani bodabodas, mabajaji, madaladala nk.
Wanadai 2025 kama huyu muMama atagombea, basi uhakika wa kura zao ni asilimia 100%. Wanashauri watoa taarifa na wengineneo bora wakafanye mambo mengine lakini sio uongozi wa nchi hii wakati huu.
Kiufupi huyu muMama anapendwa sana na anakubalika mno vijiweni.
Kupambana na huyu mama ni kupoteza muda.....
Wacha tusubiri,
Time Will tell.....
Mzee for your information,Hicho chama sio Cha vijana ni Cha kizazi kilichopita. Chawa acha kula hela ya chama kwa research fake.
Sio Vijiweni tuu Bali Africa na Dunia, habari ya mjini ni Samia.
Machadema yatajifanya yamesahau jinsi mtandao ulitikiswa kule India na Samia.
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1731200952579883055?t=WklAp1_KwI5MBGKbIWiIlA&s=19
Unakuta mama mtu mzima kama huyu ni mbeya badala afanye kazi mvua zinanyesha kutwa kusifia ujingaStory zenu za kijinga hizo ziishie hukohuko vijiweni
Ratiba ya Samia Iko busy kuliko kawaida,Kila Kiongozi huko ughaibuni anatamani kuongea naeYaani hawa jamaa watoa Taarrifa wakiona vitu kama hivi wanaweweseka, wanachoka na kukata tamaaa kabisaa😂
wanatamani wabaki nae dah 😅Ratiba ya Samia Iko busy kuliko kawaida,Kila Kiongozi huko ughaibuni anatamani kuongea nae
Narudia tena, hicho ni chama Cha wazee, vijana walioko humo ni aidha mazombie, au wasaka fursa. Na Kiko madarakani Hadi sasa kwa sababu za kihostoria na mbeleko ya vyombo vya Dola. Siku inatoka madarakani ipe miezi 6 tu itafufutika, maana watakaokipigania ni wazee na wao hawana nguvu tena.Mzee for your information,
Hiki chama sio cha vijana, wazee, wanawake au wanaume pekee. Wala si cha generation ile au hii. Hiki chama ni cha wananchi na waTanzania wote bila kujali, dini, rangi au mahali unakotoka. Hakiintertain ubaguzi hata sekunde mojo...
Ni chama kinachojali utu na heshima ya kila mwanadamu. Na wanachama wote ni sawa...
Tafiti imeendraaaa vizuri sana jomba ....unaambiwa huko duniani wanamuamini sana Dr Samia Suluhu Hassan kuisaidia Africa....
Na mkojo piaWapime akili.
ndoto zako za usingizi wa kwenye daladala 🤣Narudia tena, hicho ni chama Cha wazee, vijana walioko humo ni aidha mazombie, au wasaka fursa. Na Kiko madarakani Hadi sasa kwa sababu za kihostoria na mbeleko ya vyombo vya Dola. Siku inatoka madarakani ipe miezi 6 tu itafufutika, maana watakaokipigania ni wazee na wao hawana nguvu tena.
Kwani Tanzania ni Dar es Salaam pekee?nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.