Chenge anabrag sana kuwa kasoma Havard. Ufisadi haujali elimu wala uzoefu wa kuishi nje ya nchi. Kama kambi ya Mwakalinga inataka kutumia haya kama kigezo cha kushinda ubunge basi inabidi wajipange upya.
Wanatambo za kale elimu ya Masters ni ya kawaida kabisa ndani ya bunge letu, isitoshe kukaa miaka 18 ughaibuni sioni kama ni hoja hiyo aonekane ni bora hata kama ni mchemfu. Mtanzania amekuwa akitumia JF kwa kampeni muda mrefu sana sasa ngoja ibackfire kwake! wanaJF si mabwege...
Hivi Mwakyembe ule mradi wake wa UMEME umefikia wapi?
Hivi ilikuwaje aanze USHIRIKA na Rostam Aziz? Hadi RA alipowazidi kete ndiyo akaanza kulalama. Mwakyembe hawezi kuukataa huu mradi milele. Na huu mradi milele ukiuchimba, unakwenda moja kwa moja Igunga.
Hivyo maneno yako ya MKONO wa RA ni mrefu kweli ni mrefu. Hadi Mwakyembe ameshaukamata. Duu, eti umeme wa UPEPO.
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini
Wanatambo za kale elimu ya Masters ni ya kawaida kabisa ndani ya bunge letu, isitoshe kukaa miaka 18 ughaibuni sioni kama ni hoja hiyo aonekane ni bora hata kama ni mchemfu. Mtanzania amekuwa akitumia JF kwa kampeni muda mrefu sana sasa ngoja ibackfire kwake! wanaJF si mabwege...
Alpha Oumar Konaré fourth son of a Bambara teacher and a Fula homemaker was born in Kayes, Mali, where he went to primary school. He went on to attend Bamako's Lycée Terrasson des Fougères, the Collège de Maristes of Dakar, Senegal, the Collège Moderne of Kayes and, between 1962 and 1964, the École Normale Secondaire of Katibougou. He completed his advanced studies in history at the École Normale Supérieure in Bamako (19651969) and at the University of Warsaw between 1971 and 1975. (THE EX-President of Mali).
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini
kaishi majuu(poland) miaka 18 ni exposure tosha kwa wana kyela nasikia wanafagilia sana watu wa majuu...Si ndio hapo sasa,
Matisho mengi, mara kaanzisha JF (uongo mtupu), mara ni mwanachama mahiri sana JF (debatable), mara story ndefu kuwa ni mtalaam mahiri wa IT (who knows ... who cares) na mara kuwa kaishi ulaya miaka 18 (so what)!
Wewe umemshtukia leo? Mimi nilimshtukia kipindi kile alivyokuwa akichambua sana maswala ya mbeya - ya mwandosya na wenzie ndio nikaunganisha nukta.
Masa,
Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?
Mwisho tatizo siyo kusomea wapi, tatizo ni NINI UMESOMA na kuweka kichwani na zaidi zaidi ni mtu mwenyewe. Kumbuka kwetu twasema siku ya harusi "Kulanga kilangile, uli-kyume na ulangi" yaani "Kufunda mtoto aliyefundika, basi utajisifia ufundaji". Sasa awe alisoma Poland, Ukraine, Hungury, Russia, nk kama kichwani mzuri, basi LUCENT technology hawakuwa na shida ya kumpatia kazi na hadi wakamuhamisha toka nchi moja kwenda nyingine.
Mfano mdogo hebu linganisha huyu jamaa na Mkapa wetu au Muungwana.
Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............

Acha ushamba wa kudandia train la TGV kwa mbele??
kaishi majuu(poland) miaka 18 ni exposure tosha kwa wana kyela nasikia wanafagilia sana watu wa majuu...
...ni IT expert atatoa laptop za bure wapambe wake washa ahidi...
Masa,
Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?
Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............
shem achana na wapambe wa mwakalinga......kajipakulie meremeta mwanakijiji amei release kwa ambao hamkununua.....Naanza kupata wasi wasi na uelewa wako wa mambo kaka yangu ndugu yangu na jamaa yangu..rafiki yangu Sikonge. Masters ya IT tena ya Poland wewe unaona si kitu cha kawaida? Do properly your home work
Unaendelea kuspill beans tu hapa
Unataka Engineers sasa ndani ya bunge unafikiri Mtanzania atakuwa peke yake tena?
Nakutajia wanne tu
- Shukuru Kwambwa MP Bagamoyo
- Stella Manyanya Special seat CCM
- Christopher Chiza MP Kasulu West
- Prof Mark Mwandosya MP
shem achana na wapambe wa mwakalinga......kajipakulie meremeta mwanakijiji amei release kwa ambao hamkununua.....
hata mie shem nilinunua mwanzoni kabisa.......nasikia huyo kakako sikonge ndio atakuwa producer kwenye redio ya boss wake wmakalinga?Nina hasira sana na hawa watu....Shem mimi nilinunua ilipotoka tu...kumbe subira huvuta heri....nimejifunza...