Anachohitaji yeye zaidi ni attention, akipata attention anapate engament mtandaoni na kwenye media, anauza shows, anapata endorsements n.kOk after attention what next?
jamii itamtafsiri vipi huyo mbeba pochi hapo juu?
tuongee kawaida tu.
Yani kufyatuwa mguu kama wanavyofanya wanawake kuonyesha matako yao ndio kutafuta attention?Ndio fasheni za vijana na wasanii , hapo kinachotafutwa ni attention yako kama ulivyopost hivyo , iwe kwa ubaya au kwa uzuri kisaikolojia yeye kama msanii ameshakamata attention yako
Hakuna anayempangia mtu, ****** ni mali yake.Watu wanatokwa povu hapa hatari, kwani uanaume wanalazimishana??
Wabongo bhana, mtu anaumia kisa mwenzie kaamua kujiweka tofauti na jinsi yake. Na hajashawishi mtu mwingine afuate.
Sasa hasira na kelele za nini? Wee umeamua kubaki kiumeni, basi baki, na yule aliyeamua ku left muache aondoke, si ni maamuzi yake. Kwani unampangia wewee?
NB: Reply bila mhemko. 😂😂😂😂😂😂
Nitajisikia safi tyuu, ili hali kijana wangu wa kiume kaamua kutumia hisia za mwili wake kwa namna anayoona yeye inafaa na anaridhika, tena yuko above 18yrs.Hakuna anayempangia mtu, ****** ni mali yake.
Swali wewe utajisikia vipi uwe na mtoto wa kiume anashikishwa ukuta? Utampongeza kwa jutumia uhuru wake kama unavyoadvicate usenge humu JF?
Huyu ni kidume?Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
View attachment 3541926
Lakini huyo jamaa pia Kuna story kwamba alisha kwenda Kwa P.didyAngalia movie flani ya 2019 inaitwa Empire ya tyalar Perry
Sijafuatilia mkuuLakini huyo jamaa pia Kuna story kwamba alisha kwenda Kwa P.didy
Na Kuna clip iliwahi kuwa Ina sambaa mitandaoni ya gigy money alikuwa ana sema kwamba huyo Domo ni mboga
Ibilisi wewe, towa wewe tako kama unaona ni jambo la kujivunia.Nitajisikia safi tyuu, ili hali kijana wangu wa kiume kaamua kutumia hisia za mwili wake kwa namna anayoona yeye inafaa na anaridhika, tena yuko above 18yrs.
Ruksa na yuko huru ni maamuzi yake binafsi hakuna wa kumpangia wala kumzuia.
Ni mkoba wake au wa Zuchu?
Huyo anafanya makusudi anajifanya punga au anafanya promo za mapungaSasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
Mkuu Tanzania mpo busy sana na Elimu wakati hata hiyo fani ndio Elimu yake ushawahi kujiuliza wachezaji wakubwa wana Elimu gani? Nyinyi Elimu au kipaji ni mpaka ufanye mitihani ya Necta mtu akiwa mtaalamu gofu,cricket riadha sio fani hizo mpaka achore ua sio lenye kikonyo..Huyu ni darasa la saba failure, no more no less
Mambo yao ya kufirana mikundu, kumamakezao!mambo ya kipumbavu sana