Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Amesema huyu ni la 7 failure au sijasoma vizuri?
 
Ibilisi wewe, towa wewe tako kama unaona ni jambo la kujivunia.
Mbona mhemko tenaa? Wee si uliuliza swali na nimejibu ipasavyo???

Sasa makasiriko ya nini tena? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!

Hapo amefanikisha lengo lake, hata sisi ambao hatumfuatilii umetuingiza kwenye mkumbo wa kujadili na pengine wengine watataka kujua hapo alikuwa anatoka wapi au anaenda wapi na kwenye mkoba kuna vitu gani, controversies ndiyo wanapenda kwani ndiyo huwafanya wajadiliwe.
Publicity iwe positive au negative bado unabaki kuwa ni publicity tu.
 
Wewe tena? We si unafurahi mkizidi kuongezeka😁😁
Inaonekana mtu aki declare publicly kwamba ye ni mpunga huwa mnafanya bonge la sherehe kwenye vyama vyenu na kummwagia minoti shindiliii
 
Wewe tena? We si unafurahi mkizidi kuongezeka😁😁
Inaonekana mtu aki declare publicly kwamba ye ni mpunga huwa mnafanya bonge la sherehe kwenye vyama vyenu na kummwagia minoti shindiliii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wee ni mwana chama, haya uliyajuaje, ikiwa hauko chamaniii?/

Wee ni mwanakwetu kabisaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya yaishie hapo kiume zaidi, usilete ushoga kwenye comment za Wanaume utapakatwa
Nimekwambia situkani kwenye mitando ila sio mnyonge kivile macho kwa macho situkanwi na mtu yeyote yule na nikamwangalia tu maana najua hapa hakuna kitu kitafanyika zaidi..
 
Nimekwambia situkani kwenye mitando ila sio mnyonge kivile macho kwa macho situkanwi na mtu yeyote yule na nikamwangalia tu maana najua hapa hakuna kitu kitafanyika zaidi..
Tufanye yameisha mkuu, maana sioni faida yoyote ya haya majibizano, we don't get anything on this, so let end this peaceful okay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…