Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
wewe ndio mlevi pekee hapa jf mwenye akili zakeUsanii, wasanii huuza taswira ili kupata attention kwenye jamii, aina ya jamii iliyopo kwa sasa inawashape wasanii kufanya chochote ili kupata attention kivyovyote vile.
Tatizo lenu ndiyo hilo shallow thinking/reasoning. Mtu akiwa na hela, basi elimu haina maana wakati hata hizo michezo inafanyika kwa sababu watu walikwenda darasani waka develop technology ya vifaa vya michezo hiyo! Ndiyo hawa failures wakavitumia!Mkuu Tanzania mpo busy sana na Elimu wakati hata hiyo fani ndio Elimu yake ushawahi kujiuliza wachezaji wakubwa wana Elimu gani? Nyinyi Elimu au kipaji ni mpaka ufanye mitihani ya Necta mtu akiwa mtaalamu gofu,cricket riadha sio fani hizo mpaka achore ua sio lenye kikonyo..
Mtu anafanikiwa kwa fani yake unasema darasa la pili Mwalimu alitudumaza sana aisee.
Kweli mkuu, inabidi yaishe hivyo maana hakuna faida ya kuendelea kujibizana for nothing, unaembishania yeye anaingiza pesa this time on all music streaming platform coin zina-count down, wewe upo unamkingia kifua kwenye social media na haakupi chochote for whatWanaume tunamalizaga mambo hivi π€
Isanga family
Wewe soma ili utafute kazi wengine hawasomi kama wewe hao wametoka kwenye fani yao kabla ya fani yake wewe ungemjua wapi huyo mzala alikua ajui hata kuongea kiswahili leo hii yupo na Lugha tofauti na ana watu upo busy kujifanya unamfundisha sio kweli wewe Pambana na kusoma ili hao wasio soma wakuajiri kwa ujira mdogo kutwa kujisifia Elimu Elimu ambayo imekudumaza tu...Tatizo lenu ndiyo hilo shallow thinking/reasoning. Mtu akiwa na hela, basi elimu haina maana wakati hata hizo michezo inafanyika kwa sababu watu walikwenda darasani waka develop technology ya vifaa vya michezo hiyo! Ndiyo hawa failures wakavitumia!
Kwaheri, sidhani kama unaweza kunielewa
Si unamuona E.JOHN akitembea kama centre bolt imekatika anatembea kama ngaduAah qmamae wanawake wote hawa wamejaa na mitako mikubwa kama tranka ndio nigeukie wanaume? Hiyo michezo yenu endeleeni nayo tu ila fainali uzeeni!! Ukishagonga 50+ na mikunyanzi mwili mzima na ****** uko wazi hakuna marinda ndio akili zitawakaa sawa! Saiz si mnaona fresh? Siku zaja
Na soko hana tena...mwili umechoka umejaa makunyanziSi unamuona E.JOHN akitembea kama centre bolt imekatika anatembea kama ngadu
Ova
Whats More Broo..???Than Fasheni Na antesheni To SambadeNo bro, theres more than fashion and attention to somebody.
Kama kambebea Zuchu je!Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
Kwani kijana ame-left group?Si unamuona E.JOHN akitembea kama centre bolt imekatika anatembea kama ngadu
Ova
Episode ya gangstaliciousππIt's a man bag
View attachment 3542026
Wewe unaweza kuvalishwa shanga na ulipwr ukakubali?Wasanii wengi wanavalishwa na kwa ajili ya matangazo huyo mzala ni bango hapo analipwa ashiki pochi ya kike bure bure tu..
Kwani jamaa ni masanii?Wewe unaweza kuvalishwa shanga na ulipwr ukakubali?
Tuacheni utani wakuu
Mkuu mbona Kuna wachezaji kibao wa mpira Huwa wanakataa kuvaa logo za ushoga?Kwani jamaa ni masanii?
Ni kweli hauwezi kwa hali yoyote hata mimi pia siwezi , ila haiondoi maana ya kuwa wapo wanaoweza ili kusaka attention ya kisanii .Mkuu mbona Kuna wachezaji kibao wa mpira Huwa wanakataa kuvaa logo za ushoga?
Huyu zuchu si amewahi kukataa kutangaza pombe lkn kutwa kucha anavaaa vichupi na kitovu wazi?
ππ
Dalili ya mvua ni mawingu siku zote. Mimi siwezi katika Hali yoyote Ile.
Huyu jamaa anakipengele haiwezekani hapo usafini kunuke mavi kiasi hikoNi kweli hauwezi kwa hali yoyote hata mimi pia siwezi , ila haiondoi maana ya kuwa wapo wanaoweza ili kusaka attention ya kisanii .
Mimi nina fani yangu ambayo siwezi kuvaa hayo madudu mazee hao wahuni wanavaa chochote ili mradi wapate hela kumjaji msanii ni kupoteza muda tu.Wewe unaweza kuvalishwa shanga na ulipwr ukakubali?
Tuacheni utani wakuu
Mbona hasira sana mdau, au kuna anayekujua humu? Wee ni GAY.Aah qmamae wanawake wote hawa wamejaa na mitako mikubwa kama tranka ndio nigeukie wanaume? Hiyo michezo yenu endeleeni nayo tu ila fainali uzeeni!! Ukishagonga 50+ na mikunyanzi mwili mzima na ****** uko wazi hakuna marinda ndio akili zitawakaa sawa! Saiz si mnaona fresh? Siku zaja
We jitutumue tu,ila siku zajaMbona hasira sana mdau, au kuna anayekujua humu? Wee ni GAY.
em nitolee hasira zako huko.
Tyler perry yule ni wakala wa kueneza homosexual content kupitia movie/series zaketyalar Perry