The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Halafu wengine wanampenda Mwanamke kwa User name tu!Sema nini, watu huchukulia JF kwa uzito sana, ndio maana wanajikuta wanaumia. Humu ukitaka kuishi poa we usiwe serious kivile... !
Best couple kwa kushindwanishwa na couple zipi?
Halafu wengine wanampenda Mwanamke kwa User name tu!
Nyege mbaya sana aisee.
π€£π€£Pokea simu.
Watu wanalia kabsa sababu wameandikiwa thread daah ππSema nini, watu huchukulia JF kwa uzito sana, ndio maana wanajikuta wanaumia. Humu ukitaka kuishi poa we usiwe serious kivile... !
Dembele gani ni mfupi au umedata bidada ?Ila Dembele lizurii hili likaka, sema lifupi tu.
Mdogo wangu shes amesema mnamkoseaβ¦..binti kiziwi jiandae tu,
Karibuni utakaribishwa kwenye harusi.
Ukipendwa pendekaMdogo wangu shes amesema mnamkoseaβ¦..
N utoto tuu, wakijitambua watatuliakwani wenzetu hamna kazi za kufanya.
Kabisa mkuu unakuta uyo bidada hapo ka mind kinomaN utoto tuu, wakijitambua watatulia
Exactly sasa tuishi hapa ππ
Siwezi kukaribisha feminists waje wa haribubinti kiziwi jiandae tu,
Karibuni utakaribishwa kwenye harusi.
Wanaume tumeumbiwa mateso! Biblia haikukosea, tuishi nanyi kwa akiliMimi na wewe tumeishia wapi na kuhusu nini? πΉ
Kwanza kuna habari gani hapa?
Maana nimelikuta li notification la mention lako juu..!!
If you know the lady doesn't drama, you can't go all open like this. I understand there's no right way to go about it but at least you got to know what the person likes or doesn't like before making a move. To me this is a show off.Nah grandpa, there is no special right way to play it when it comes to seduction Maybe he already cooked her, who knows? π€·π
Huyo demu nae anamaind vitu vya kipuuzi, JF ukiwa serious sana utaumia mwnywKabisa mkuu unakuta uyo bidada hapo ka mind kinoma