ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
I know what I’m sayingUmeenda mbali sana mdada.
Kwake yeye ww ndo amekuona mnyonge wa kujipigia, mana kama kweli anakupenda angekuja pm muongee private
So anampenda nani kati yako au binti wa zamani?
So muhusika alichezea za uso na kupoteza fahamu sio ?? 😂😂Tulia Mkuu, namjua Binti wa zamani na anajimudu mno, hawezi kusumbuka na hawa ndezi wa humu
Mkuu una matani weweeTulia Mkuu, namjua Binti wa zamani na anajimudu mno, hawezi kusumbuka na hawa ndezi wa humu
Ww sio mnyonge, ila jamaa amekuona mnyonge wake ndo mana kapandiaha huu uzi.I know what I’m saying
With all due respect, I think it’s best we leave things here🙏🙏
Chali 😂So muhusika alichezea za uso na kupoteza fahamu sio ?? 😂😂
Inasikitisha sana mkuu 😂Mapenzi
Mkuu una matani wewee
Kwani ephen_ ni mshangazi
Mtaalam nimetangulia kilingeni jana ila signal haisomi. GPS inasoma bara au kizimkazi?
Exactly sasa tuishie hapa 🙏🙏Ww sio mnyonge, ila jamaa amekuona mnyonge wake ndo mana kapandiaha huu uzi.
Kubali kataa, ukiona boy amekuanzishia uzi kama huu, bc Tambua amekudharau mno.
Ameshaitika tayari green light hii ushindwe wewe tu de Gunnerde Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua
Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?
Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo
Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi
Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa
Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani
Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
Bc mara ya kwanza umenielewa vibaya 😎Exactly sasa tuishi hapa 😊🙏🙏
Nazani ameburugwa…amenifananisha na kitu gani sijui cha huko wapiwapi….ila pole sana rafiki ShesRise_1 haya ni mapito tu😞😞😞.Japo inasikitisha sana.Bc mara ya kwanza umenielewa vibaya 😎
Ulichokifanya wewe ndiyo dharau yenyewe ila sina cha kukufanya so keep going 🙏Bc mara ya kwanza umenielewa vibaya 😎
Basi nimchukue miePro max
Mimi na wewe tumeishia wapi na kuhusu nini? 😹Ah wapi ataishia kama yangu na Lamomy, jasho jembambaView attachment 3654479
Dah 😂Ulichokifanya wewe ndiyo dharau yenyewe ila sina cha kukufanya so keep going 🙏
Acha ujinga wa kurukwa akili mpuuz wewe usimhusishe ShesRise_1 na vitu vya kijinga she's way smarter acha kuleta upuuzi wakoAlipigwa K.O huko hvy ametafuta mnyonge mwngn anataka kujipigia 😂