HahahahahaYeah kuna watu watakusitiri lakini kuna watu watakuanika....kuwa makini
Wewe umemtaja ili akutaje ?Dah! hakuna hata aliyenitaja?
Jmn Uzi umesema unaovutiwa π€£Shoo mbona umetaja wawili,utawamudu kweliπ π Lamomy ona balaa la nduguyo
Kwani hapa si inatakiwa wanawake ndo watutaje au?!Wewe umemtaja ili akutaje ?
Zingatia title ya Uzi π€£π€£ππMulasil hujamtaja nakuzoom π€£π€£π€£π€£
Mtt wa juzi huyu atawajulia wapi shoooπ€£π€£π€£We huwajui hao?mbona maarufu sana?
Sijui kwa nini na mimi nimejikuta nacheka tu eti. Lol.Hahahahaha
Hakuna matata πNangoja kumsikia mahi wangu Depal πππ
Hahahahaha...hahahahahaSijui kwa nini na mimi nimejikuta nacheka tu eti. Lol.
Hahahahaha km hujatajwa mkumbushe ..akutaje mkuu..na hali ya hewa hiiKwani hapa si inatakiwa wanawake ndo watutaje au?!
Ndo majina yao mkuu hayo
Namtaka yeye tu.. trust me.
Hata usipomtaja, wanamuiba tuNimtaje wakamuibe?? Aku!
ππππππππ ulichokivuta usikirudie tena
Angekuwepo ningemtaja chaap kwa haraka ππππ. Au kuna ulieona ananifaa nijiweke shoga angu?Usizuge shosti ww jilipue bana π€£π€£π€£
Na unakuta na wazazi ana madada na mashangazi ni kukosa adabuHapana namaanisha wanawake kwa ujumla tena unakuwaga serious kabisa mpaka nakushangaaga, kuna siku nilikuuliza siku hizi umekuja kuwaje unakumbuka ulinijibu nini, yani binafsi mwanaume akishakuwa misogynist na kuanza kutukana au kudharau wanawake huwa namuona kama muuaji
Haya sawa nitafute dem wa kumuhongaMwanamume