Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Hapana namaanisha wanawake kwa ujumla tena unakuwaga serious kabisa mpaka nakushangaaga, kuna siku nilikuuliza siku hizi umekuja kuwaje unakumbuka ulinijibu nini, yani binafsi mwanaume akishakuwa misogynist na kuanza kutukana au kudharau wanawake huwa namuona kama muuaji
Na unakuta na wazazi ana madada na mashangazi ni kukosa adabu
 
Back
Top Bottom