Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaYeah kuna watu watakusitiri lakini kuna watu watakuanika....kuwa makini
Wewe umemtaja ili akutaje ?Dah! hakuna hata aliyenitaja?
Jmn Uzi umesema unaovutiwa 🤣Shoo mbona umetaja wawili,utawamudu kweli😅😅 Lamomy ona balaa la nduguyo
Kwani hapa si inatakiwa wanawake ndo watutaje au?!Wewe umemtaja ili akutaje ?
Zingatia title ya Uzi 🤣🤣🏃🏃Mulasil hujamtaja nakuzoom 🤣🤣🤣🤣
Mtt wa juzi huyu atawajulia wapi shooo🤣🤣🤣We huwajui hao?mbona maarufu sana?
Sijui kwa nini na mimi nimejikuta nacheka tu eti. Lol.Hahahahaha
Hakuna matata 😁Nangoja kumsikia mahi wangu Depal 😁😁😁
Hahahahaha...hahahahahaSijui kwa nini na mimi nimejikuta nacheka tu eti. Lol.
Hahahahaha km hujatajwa mkumbushe ..akutaje mkuu..na hali ya hewa hiiKwani hapa si inatakiwa wanawake ndo watutaje au?!
Ndo majina yao mkuu hayo
Namtaka yeye tu.. trust me.
Hata usipomtaja, wanamuiba tuNimtaje wakamuibe?? Aku!
😂😂😂😂😂😂😂😂 ulichokivuta usikirudie tena
Angekuwepo ningemtaja chaap kwa haraka 😂😂😂😂. Au kuna ulieona ananifaa nijiweke shoga angu?Usizuge shosti ww jilipue bana 🤣🤣🤣
Na unakuta na wazazi ana madada na mashangazi ni kukosa adabuHapana namaanisha wanawake kwa ujumla tena unakuwaga serious kabisa mpaka nakushangaaga, kuna siku nilikuuliza siku hizi umekuja kuwaje unakumbuka ulinijibu nini, yani binafsi mwanaume akishakuwa misogynist na kuanza kutukana au kudharau wanawake huwa namuona kama muuaji
Haya sawa nitafute dem wa kumuhongaMwanamume