Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Mi nataka kuwa PA wewe utakuwa mpenzi wake shida ipo wapo bff 🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 Kwa huyo nakupa hongera bff umejua kuchagua, mi na yy mtu na rafiki yake namzingua tyuuu!!
Mh. Waziri mpole mimi siwezani naye ntamchosha.! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fitna zako zimeisha nguvu. Missy gf ashaanza kueleweka pm. Na akitiki tunakutafutia ban πŸ˜…πŸ˜…
Pole sana ndugu mtazamaji bff wangu kuna dume la nguvu kashalitag 🀣🀣🀣🀣
Wewe utaishia kusindikiza mwenge kwa mbio tyuuu.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…