Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Bora nimejua mapema...safari za kwa sonara zingekuwa haziishi 🀣🀣🀣
Tena nasikia mashetani yakipanda sio cheni tu hata kukubeba na kukutupa chini km jiwe sio shida zake, huyo umeme mdogo kichwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oya pacha we si uli Sema ume okoka lakini πŸ˜„??
 
🀣🀣🀣🀣 hapo sawa!
Hivi ile story iliishia wapi?? Ujue kila nikichungulia naona hamna kitu!! Umeanza lini uongo waziri?? Yani watu wa mbogamboga hamjawahi kuwa wakweli kabisaa.!! Sijui kwann??
before saa9 alasiri itakua tayari sehemu ya pili.

na,
actually sehemu ya tatu na nne ambayo ndio ya mwisho ziko tayari pia πŸ’

hapana uongo hapa aisee,
hii kweli kabisaa straight forward,

na ndio maana wanainchi wananipenda sana mimi na huyu kiongozi wetu mkubwa wa kitaifa wa chama na serikali, comrade Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’

nikichelewa nikumbushe tafaddhalli, na uwajulishe na wengine πŸ’ πŸ’
 
Niwekee bando ili iwe rahisi kuwakumbusha 😜
 
Hakika simpati, nimehamishia majeshi kwa under25 ili nizeeke vizuri. Nenda kwa machuga huko hawana lolote...😁
🀣🀣🀣🀣 machuga yako vizuri, hafu wale machuga wengi ni wapare waliokimbia uko milimani wakaenda chuga.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…