Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Wee asikudanganye mtu!! Km kweli una demu humu na hajakutaja anakuficha km bangi ujue hapo hakuna mapenzi na mpo kijiji uko pm au ana id nyingine ya kuwapanga foleni.!! Hili liko wazi 🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi unajua utamu wa kupenda wewe?? Ukimpenda mtu utatamani kila sehemu umuweke bango uonyeshe raia unavyopenda.!! Ww huyo timua anakumalizia vihela vyako uko piemuni 🤣🤣🤣🤣🤣

Kwanza ukitajwa inaongeza na kurudisha nguvu za kiume, huoni wenzio wanaamua kuwaita mademu zao wawataje 😂😂😂
Oya pacha we si uli Sema ume okoka lakini 😄??
 
🤣🤣🤣🤣 hapo sawa!
Hivi ile story iliishia wapi?? Ujue kila nikichungulia naona hamna kitu!! Umeanza lini uongo waziri?? Yani watu wa mbogamboga hamjawahi kuwa wakweli kabisaa.!! Sijui kwann??
before saa9 alasiri itakua tayari sehemu ya pili.

na,
actually sehemu ya tatu na nne ambayo ndio ya mwisho ziko tayari pia 🐒

hapana uongo hapa aisee,
hii kweli kabisaa straight forward,

na ndio maana wanainchi wananipenda sana mimi na huyu kiongozi wetu mkubwa wa kitaifa wa chama na serikali, comrade Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

nikichelewa nikumbushe tafaddhalli, na uwajulishe na wengine 🐒 🐒
 
Niwekee bando ili iwe rahisi kuwakumbusha 😜
 
Hakika simpati, nimehamishia majeshi kwa under25 ili nizeeke vizuri. Nenda kwa machuga huko hawana lolote...😁
🤣🤣🤣🤣 machuga yako vizuri, hafu wale machuga wengi ni wapare waliokimbia uko milimani wakaenda chuga.!!
 
Back
Top Bottom