Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Asap mh waziri 😜
Kuwakumbusha raia ni kazi ujue
ya kusimamia kujenga shule, zahanati, barabara na choo ya watoto wa shule huko vijijini utaweza kweli?πŸ’

halafu nisije kutajwa kwamba na mimi nalipa watu wawaseme vibaya viongozi, si unajua hiyo ni hot current issue eeh πŸ’

I must be careful, lazima nikuae chonjo nikue rada mbaya sana πŸ’
 
Mheshimiwa tulia msemaji wako nipo hapa
 
Ntaweza bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww waziri wetu wa JF
 
Ntaweza bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww waziri wetu wa JF
wanainchi wa JF ni wa tofauti halafu wengine wanahasira mbaya ile kitu hawaezi ni kunifikia physically na kunichapa makwenzi, makofi na ngwara πŸ’

hata hivyo,
kule jimboni wako wa chache wa aina hiyo lakini niko imara zaid kuwadhibiti hawawezagi kitu na wala hawafuagi dafu wakiniletea za kuleta πŸ’
 
Hao ss hivi niachie mimi mwenezi wako na msemaji wako Missy Gf tutadili nao πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…