Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mpare 🤣🤣🤣🤣Ila shemdarling si mpare yule😅😅😅?
Ila sio bahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpare 🤣🤣🤣🤣Ila shemdarling si mpare yule😅😅😅?
🤣🤣🤣Kwa hiyo wewe shangazi la Tanga lililoiunga tamu yake na hiriki na mdalasini hulitaki?Hiyo ni pie, liwe na natural scent toka kwa Mungu, sitaki marashi mie....ile inayoleta mzuka🤣🤣
Ilivundikwa muda mrefu sana 😅Mbege Gani kichwa kinakuwa race hivyo?
Alaf TikTok na Snapchat mtatumia saa ngapi? 😅😅Hii mbona tunafanya hata sisi under 40 Sema kama hakufanyii hivi hakupendi 😅
Yule ataingia kwenye world Guinness.. .maana ndio mpare wa kwanza kumtumia Hela bila majutoMpare 🤣🤣🤣🤣
Ila sio bahili
Basi hatari sanaIlivundikwa muda mrefu sana 😅
Shetani bado yupo kati yetu 😅Sitaki nimekataa
Ajali kazini, sio mbaya 😅😅Utakuja uvunjike shauri yako 🤣🤣🤣
Bado mashudu aliyolishwa na Lamomy yapo kichwani. Yataisha tu 😅Mbona Kwa msisitizo sana🤣?
Hapana hata kidogo, nataka ile asili yake, vigezo na masharti kuzingatiwa tu, minato pia hapana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo wewe shangazi la Tanga lililoiunga tamu yake na hiriki na mdalasini hulitaki?
Acha kutusagia wewe, tumejaliwa vitu viwili, show na ukarimu..utoaji, sisi ndugu zetu wangoni🤣🤣Yule ataingia kwenye world Guinness.. .maana ndio mpare wa kwanza kumtumia Hela bila majuto
🤣🤣🤣🤣 naona uzi unakupeleka kubayaKwema tu jirani.
😀
Ambaye wa kwanza ni Dk Gwajima, sijajua huyo mwingine atakuwa nani???? 😁😁😁
Jichanganye upasuke😂🤣😂😂Piga tuu kaka
Tatizo niliposema portable, kichwani imekujia picha ya mamiss. Mwanamke ambae yupo below 75kg huyo ni dume mwenzetu, apite kushoto 😅Portable kwangu nope, yaani portable kabisa kweli? Nataka mzigo...70kg+
Nitafute nikupe folder zima. Maana nimeimbiwa hadi nimezikariri 😅Nataka nikimpata wa kumuogesha nijue nyimbo za kumwimbia