Wa maoneshooo, hata hivyo kuwa bottom sio kwamba huwezi kuwa na demu,
Ndiooo hudda aliipakaga pink colour....Range enyewe aliporwa Huddah ndo akapewa yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhahaha eti club yangu hatari sanaChief Desingner sasa hapo yanga si yupo km shem wa GSM, hujui kulikua na fukuto kati yake na takadini eti kisa shabiki wa lunyasi, Dimpoz akamuambia wachezee kina kamwe na priva, mie sio level zako, utahamaa wee kabla yangu.
Na mwanzoni walikua mabest, walio mchoma kabwilii si ndo hawa hawa. Eti kugombania urunguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IgweeeeSiamini katika 50/50 mkuu
Msuguano hadi Jicho linageuka nyuma km unakata roho,wanapata nini Kwa hawa Mariooo
Wanayapata ya kitandani usiyoyaonaYaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.
Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.
Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?
Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper
Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?
Hiiiiiii bagosha🙆🙆kula chuma hicho
Ziko wapi?
Yetu macho..🤔🤔🤔🤔
Mna roho ngumu....We tena umemweka mbuzi kagoma tunaanziaga mbususu uku unapanda juu utasikia wewe unafanya Nini unamjibu kwani haupendi ukiendelea anaanza kunena Kwa lugha ka yupo Kwa mwamposa basi mkishamaliza show utaona muamala huo baby utanunua vocha [emoji28][emoji28]
Wanaume tumeumbwa matesooo matesooo kuangaikaaaa[emoji445][emoji444][emoji443][emoji441]Mna roho ngumu....
Eeeeee weeeeee show showMimi kwanza mwanaume akiniomba hela tu,baasi .Yaani ninamuona kama mavi.Hao wanawake wanaohonga ni Nye ge tu zinawasumbua,basi na vile vijana wanajituma kwenye 6 ×6 ,baasi wanawake wanadata kabisa.
Usiuchukulie kazi ya kubeba zege simpo bora useme wakatembeze hata kahawa.Humu JF mwanaume anakufuata DM eti anaomba hela,hapo anakuambia yupo ndani kwake anaangalia bunge.Kweli mwanaume unashinda ndani kuangalia bunge?Si bora utoke nje ukabebe hata zege jamani.
Hiiiiiii bagosha🙆🙆
Hizo mnazitafuta. Acheni ubahilli roho mbaya nakuita watu Marioo.Ziko wapi?
Hatuna.Hizo mnazitafuta. Acheni ubahilli roho mbaya nakuita watu Marioo.
Sent using Jamii Forums mobile app