sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Masai dada hii ni ego.Nina ndugu zangu maskini wengi sana...nina wadogo zangu wanahitaji mitaji....
Hiyo level sitakaa niifikie ya kugawa ela Kwa mwanaume ili animwagie mauno....
Zikijaa sana napeleleka msikitini,kanisani,Kwa wagonjwa na mayatima....
Simpi mtu asiyetaka kufanya kazi na ni mzima WA afya.....hizo ni fantasies watu wanataka kuzitimiza....Kuna wababa in their 50_60 na bado wanaridhisha au mwenzio age mate mbona wapo?
Mi naona Kuna member wengi wamekoment hapo ....hao wadada wanataka maisha ya kujiachia na kuendelea kudanga Kwa sababu wengi wao mtoe zar na mbutananga hapo. Wengi hawana maisha ya kuhonga...pesa za maana...
Kumsaidia mwenzio maisha sawa ila sio kumchukua mtoto ambae wazazi wake wameshindwa kumlea uje umleee. Wewe
Fungua Moyo wako huwezi jua kupitia juhudumia mpenzi wako Mungu akakufungulia.
Ndugu wapo tuu na wenye uhitaji wapo. Ila mume Marioo huenda aka offer Ile kitu roho inqpenda.
Unaguswa pale wengine wanashindwa gusa. Kwann usitoe na pesa IPO???
Sent using Jamii Forums mobile app