Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Nina ndugu zangu maskini wengi sana...nina wadogo zangu wanahitaji mitaji....
Hiyo level sitakaa niifikie ya kugawa ela Kwa mwanaume ili animwagie mauno....
Zikijaa sana napeleleka msikitini,kanisani,Kwa wagonjwa na mayatima....
Simpi mtu asiyetaka kufanya kazi na ni mzima WA afya.....hizo ni fantasies watu wanataka kuzitimiza....Kuna wababa in their 50_60 na bado wanaridhisha au mwenzio age mate mbona wapo?
Mi naona Kuna member wengi wamekoment hapo ....hao wadada wanataka maisha ya kujiachia na kuendelea kudanga Kwa sababu wengi wao mtoe zar na mbutananga hapo. Wengi hawana maisha ya kuhonga...pesa za maana...
Kumsaidia mwenzio maisha sawa ila sio kumchukua mtoto ambae wazazi wake wameshindwa kumlea uje umleee. Wewe
Masai dada hii ni ego.

Fungua Moyo wako huwezi jua kupitia juhudumia mpenzi wako Mungu akakufungulia.

Ndugu wapo tuu na wenye uhitaji wapo. Ila mume Marioo huenda aka offer Ile kitu roho inqpenda.

Unaguswa pale wengine wanashindwa gusa. Kwann usitoe na pesa IPO???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajichanga hazitimii tupo wote baby...
Ila unaamka unaenda gym...unarudi unapiga chai nzito unarudi kulalA unasubiri nije na groceries to feed ur ass's..
.am soleeeeee Naita polisi nikikuona
Hahah unamuacha anaangalia Bunge live na kuperuzi insta akifuatilia michongo ya kina juma lokole na Dr kumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupanga ni kuchagua ila usiwe kauzu sana sometimes mshangaze anayekufurahisha mpe ata boxer au vest ya mkono
Mume wangu anapata Kila kitu coz nimpambanaji sanaaa.....so akikwama nakaba mimi....father of my 2kids.
Nazungumzia mtu ambae hajishuhulishi kwa lolote kabisaaa..
Ni tofauti kabisa
 
Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hayo maisha ni magumu
Hiyo inaitwa win-win! Kwani bibie anakuwa na publicity kuwa ameolewa, huku akijivinjari na mabwana zake. Akirudi nyumbani anakuta Mario wake akimsubiri. Raha iliyoje. Hakuna kuchungwa, in fact anakua ameoa badala ya kuolewa. Mario anakuwa ameolewa ila anatunzwa kama mtoto mdogo
 
Hahah unamuacha anaangalia Bunge live na kuperuzi insta akifuatilia michongo ya kina juma lokole na Dr kumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuuuzi WA kiwango Cha lami...eti for the sake of miuno eeee
Mbona Kuna watu wapambanaji na wanamiuno?
Yaani mbuta anavyolia as if alikua hajui kwamba huyo kamfatia pesa TU hapo.....
Na hili ndo tatizo kubwa hao marioo wanakua hawakupendi anakuja na side issues zake ana kasichana kale na mipango yake nje ya wewe na hapo ndo Kuna umiza zaidi
 
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.

Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.

Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?

Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper

Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?

Kwani ninyi tunavyowapa Pesa na kuwahudumia mnafikiri mna nini mnachotupa cha Maana?

Jibu ni kuwa MTU akikupenda atakupa chochote bila kujali wewe unampa nini.
Sisi tunapowapa Pesa sio Kwa sababu ninyi mnamambo ya maana Sana Ila ni Kwa sababu tunawapenda.

ndivyo hivyo hivyo na hao Wanawake wenzenu. Hawapati la maana isipokuwa wanamioyo ya kupenda
 
Ni upuuuuzi WA kiwango Cha lami...eti for the sake of miuno eeee
Mbona Kuna watu wapambanaji na wanamiuno?
Yaani mbuta anavyolia as if alikua hajui kwamba huyo kamfatia pesa TU hapo.....
Na hili ndo tatizo kubwa hao marioo wanakua hawakupendi anakuja na side issues zake ana kasichana kale na mipango yake nje ya wewe na hapo ndo Kuna umiza zaidi
Kumbe sasa mnaelewa eeh kuwa ata nyie tukiwa na hela sie wanaume kwa nini tunakuwa na micheps wengi
 
Kuna maisha kupinduka.

Kuna siku unaweza kosa huduma yenye hadhi ukaanza kuilipia.

Hili tatizo lipo mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
SI ndo mnavumiliana kwani wazazi wetu waliishije?
Mimi ki ukweli kinachonifanya Bado nipo na mume wangu ni anajua mapenzi na ni 40+....
Anadeki sio kitoto....
Ndo maana nimesema am so lucky...
Tatizo ni fantasies tu.....mtu anataka apate extra extra....dah sitaki kuwaongelea maana sijui wanapitiwa hali Gani...
Ila kuonga upate utamu sio nature ya mwanamke
 
Inaonekanaa Hela umeiona Ina thamani kubwa sana kuliko mapenzii...inaonekanaa hata mama mkwe wako akiumwa unaweza usimpeleke hospital kisa tu Hela Yako ngumu kutokaa ,,acha roho mbayà madam

Wanawake wengi 90% wapo hivyo.
Unapooa usiwachukulie Wanawake serious.
Ni wachache wenye mapenzi. Miami Mimi
 
Masai dada hii ni ego.

Fungua Moyo wako huwezi jua kupitia juhudumia mpenzi wako Mungu akakufungulia.

Ndugu wapo tuu na wenye uhitaji wapo. Ila mume Marioo huenda aka offer Ile kitu roho inqpenda.

Unaguswa pale wengine wanashindwa gusa. Kwann usitoe na pesa IPO???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshasema am soooo lucky ninapata kitu for freee ikiwa watu wengine wanautoa ela ndo wanapewa......
Na watoto nimepewa na mtaji nimepewa na Bado natunzwa...
Kuanzia Leo nitamuheshimu sana mume wangu....
Kumbe utamu watu wanalipia...nilikua namchukulia poa
 
Back
Top Bottom