Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.
hahahaha mimisa hujamwona Mamndenyi apo juu kamwekea mawakili? na amewaita ile timu mahiri kabisa ya mawakili wa humu wakiongozwa na Ruttashobolwa manake naye alimpoka Madame B . Kesi mbichi hii