Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Kaizer ninajua kuwa Mamndenyi ni jina gumu
lakini linavyoandikwa nashangaa hata mimi

Kwa sasa nashangalia mitaa ya huku baharini
kumngojea rais wa dunia
haya mengine ni mbwembwe tu

nimegundua kitu kimoja Mamndenyi, wanaojidai kukupa sijui talaka hawawezi bado wanakupenda na huachiki hata kidogo, pili urahisi wa jina nadhani sababu ya kuzoeleka sana kwa wadau....na asili ya jina lenyewe

Mwenzio nipo mkoani nimekatazwa kurudi kwenye hii ziara, so naongeza per diem tu
 
Last edited by a moderator:
Kaizer kimenuka apo..sasa iyo ndoa itafungwa? wikend ndo hii

Kimenuka mazima mimisa ndo maana umeona Lady doctor yupo safarini, mi namvizia Kibaigwa akitokelezea tu namchukua nimlete umfunde kidogo maana wala wewe una uzoefu hapa chit chat tunakaaje, haiwezekana lim-baba lizima kama Arushaone amfuje tu mtoto wa watu, mtu mwenyewe hajui thamani yake ati lol
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ukitaka kuorodhesha saccos ya Arushaone unatakiwa uwe na ile kalamu ya kuchovya kwenye wino hivi hivi bic itakwisha, pencil itakwisha na bado unaandika tu
ni mlolongo kutoka arusha mjini hadi namanga.

hahaha wewe unajulikana hewa,,,,hebu kumbuka listi yako,
Mamndenyi......kesi iko mahakamani Madame B......bado upo naye, katika saccos yake ywa wanaume (hivi unakubalije? mbutananga)

wengine Mamndenyi atanisaidia apa
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ha ha haaa Mamndenyi anajua kupenda tu
kukuchukia hata kama utamwacha siyo rahisi
hivi unaweza kufuta yaliyokwisha ingia moyoni kwako?

Lakini acha foleni ipungue inaleta hasira.

 
Last edited by a moderator:
fanya hivyo Kaizer..au tumwite na Mamndenyi kwa ushuhuda zaidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…