Mawakili wangu ni kina Mabere Marando, Kimomogoro, Tundu Lissu, Prof. Safari et al. Nitajie wa kwako kama hutonitajia Ruttashobolwa wa JF.
[Arushaone mzima weye?..ivi Mamndenyi talaka yake ishatoka?
mimisa mimi mzima na naianza weekend taam hasa. Kuhusu talaka ya Mamndenyi nipe muda nitaletaweka ushahidi wote hapa ili hata Lady doctor atulize mtima
mimisa mimi mzima na naianza weekend taam hasa. Kuhusu talaka ya Mamndenyi nipe muda nitaletaweka ushahidi wote hapa ili hata Lady doctor atulize mtima
Since last year mheshimiwa wakili.
Kaizer kimenuka apo..sasa iyo ndoa itafungwa? wikend ndo hii
Nitajie mke mwngne tofauti na Lady doctor.Kaizer ukitaka kuorodhesha saccos ya Arushaone uwe na ile kalamu ya kuchovya kwenye wino hivi hivi bic itakwisha, pencil itakwisha na bado unaandika tu
ni mlolongo