Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.


haaa na leo eti kajimaliza zaidi kwa kuweka ushahidi wa jinsi alivompa talaka Mamndenyi, so what u r saying is true huyu apewe zuio kabisa

CC Baba V
 
Last edited by a moderator:
haaa na leo eti kajimaliza zaidi kwa kuweka ushahidi wa jinsi alivompa talaka Mamndenyi, so what u r saying is true huyu apewe zuio kabisa

CC Baba V

We acha talaka yenyewe kwani hata alinipa. Mmmh aseme kama alinipea wapi.
 
Last edited by a moderator:
hebu onana na shemejio kabanga akusaidie kuandika talaka za wakezo wote walionitangulia

Woote nilishatupa kule. Walikuwa wanakupiga mkwara tu wajue msimamo wako na walikuwa wanamtuma mimisa na Kaizer. Mzm hny?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa unalo. Mpaka useme poo. Hivi hivi patachimbika.

Unapaswa kurudi kitandani Mamndenyi si unajua leo hakuna ofisi inafunguliwa? Chezeiya Obama wewe? Unacheyeiya msafara? Afu tuache tupumuwe!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…