heeee wako? na mama yake asemeje?
Unajua ana umri karibia na Nelson Mandela? Atawafia kifuani haki ya mama!
Kaizer mimi na wewe tunaugomvi? Maana sikuelewi ujue!!!!
​mie bukheri kabisa!!Ni wivu tu huo unamsumbua huyo mume mwenzangu Ruttashobolwa. Mzima wewe?
hahahaa hakuna kabisa Lady doctor...tatizo, watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu, na mkataa pema, pabaya panamwita. sisi tunatoa tahadhari tu.....
Mbona mm sijui lolote...?
mmmmmh!!!!