MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Yule jamaa ni mwongo laana... anakuambia hao jamaa wa MWASHITA yaani waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika huko kanda ya ziwa wanamiliki karibu kila biashara kubwa Ulaya zikiwemo timu za mpira kama Bayern... anakuambia Snoop Dog ni member wa MWASHITA anayemiliki shule hapa TZ.Wenyewe wanaita MWASHITA.....
Kuna jamaa Mmoja alileta Uzi humu juu ya hii "MWASHITA".... Nimejaribu kumtag lakini sikumbuki ID yake....
Sio zone tu hata nchi jirani nyingi bila Dar ni majanga.Bila ya Daslam, hakuna cha zone wala kanda inayoweza jitegemea kwa nchi hii.
Hauko serious.Nafikiri ni kuwasaidia tu wavuvi wakisukuma na wao wapate riziki japo kidogo
For sureHauko serious.
Uongo!!!Tanga, Kilimanjaro, arusha na manyara hii ndio mikoa inayoweza kuwa nchi na ikajitosheleza kwa kila kitu.
Pua na masikioWanatoboa nini ?
Kule mipango ngamia wapo wengi sanaUkitoa maeneo yaliyo karibu na Dar, bc hayo maeneo mengine hazina tofauti na kiwanja chenye mgogoro hakuna kitu kinafanyika.
Achana na hilo jangwa, hata ngamia hawezi kuishi hapo.
wewe huna cha kuandika hivi hawa wafuga ng'ombe wote ukiwarudisha kwao kutoka pande zote za TZ si itakuwa balaa fikiria kwanza ni washamba hawana wanachojua ni kama magogo itakuwajeAmini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
Mkuu ukiona hivi maana yake kuna watu tayyari wameanza kupandikizwa viini vya utengano toka kwa majiraniKwa akili hizi anaweza kuibuka mwehu kutaka eneo fulani la nchi lijitenge kwa dhana ya kuwa ni tajiri, masikini au watu wake hawapewi maendeleo na serikali, ukabila, udini na ukanda. Mentality hizi ni shida kwa taifa
yule jamaa jirani ni mpuuzi sana, kafanikiwa congo mashariki kwa banyamulenge kujiona wanatengwa na serikali. Serikali ya huko ikashindwa kudhibiti mentality ya kujitenga eneo la mashariki wakaanzisha uasi mgogoro mkubwa ukaibuka. Sasa kama muhuni huyu akiamua kupandikiza mentality kwa kanda ya ziwa ijione ni kubwa na ina utajiri kuweza kuwa nchi anaweza tu ikiwa system ya nchi ni dhaifu litaibuka jitu la kanda ya ziwa na kuazisha harakati za kujitenga likidai madai mbalimbali na hilo jamaa jirani litaingiza jeshi lake kuwasaidia kanda ya ziwa kujitenga kama linavyofanya congo mashariki. Yule jirani mwingine naye ataingiza jeshi upande ule akidai analinda mipaka yake. Cha kufanya mwanasiasa, mwanadini, mkabila na mkanda yeyote atakayejitokeza kuleta mentality ya kutenga eneo la kanda ya ziwa adhibitiwe mapemaMkuu ukiona hivi maana yake kuna watu tayyari wameanza kupandikizwa viini vya utengano toka kwa majirani
Nyingi tu zinaweza jitegemea bila msaada toka nje, ambazo haziwezi ni zile ambazo zipo karibu na zile zinazojiweza na kutegemea kila kitu toka kwa zinazojiweza.Kibongo Bongo hakuna zone yoyote itakayotoboa bila zones zingine, HAKUNA.
KAnda ya ziwa inatoboa vzr tu.Kibongo Bongo hakuna zone yoyote itakayotoboa bila zones zingine, HAKUNA.
Pwani wanatoboa vizuri tu
Tuna safari ndefuyule jamaa jirani ni mpuuzi sana, kafanikiwa congo mashariki kwa banyamulenge kujiona wanatengwa na serikali. Serikali ya huko ikashindwa kudhibiti mentality ya kujitenga eneo la mashariki wakaanzisha uasi mgogoro mkubwa ukaibuka. Sasa kama muhuni huyu akiamua kupandikiza mentality kwa kanda ya ziwa ijione ni kubwa na ina utajiri kuweza kuwa nchi anaweza tu ikiwa system ya nchi ni dhaifu litaibuka jitu la kanda ya ziwa na kuazisha harakati za kujitenga likidai madai mbalimbali na hilo jamaa jirani litaingiza jeshi lake kuwasaidia kanda ya ziwa kujitenga kama linavyofanya congo mashariki. Yule jirani mwingine naye ataingiza jeshi upande ule akidai analinda mipaka yake. Cha kufanya mwanasiasa, mwanadini, mkabila na mkanda yeyote atakayejitokeza kuleta mentality ya kutenga eneo la kanda ya ziwa adhibitiwe mapema
Dah! na Mbelele hapo. Nimepakumbuka HomeNipo zangu Bujonde nakula mbasa ila wa Daslam wanaamini ndio kila kitu.
Pwani ni tanga,pwani,dar,lindi, mtwara,hawatoboi kivipi?Pwani haitoboi hata mwaka.