TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Wazee wa kikurya hao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ni mule ndani, watumishi mule wanaroga sana kupigania migongo huwenda alitupiwa jini likammaliza kimyakimya?

Pole sana kwako na apumzike kwa amani M.K.M namfahamu vyema huyu kijana.
We acha tu.... wanapigana vipapai hatari... wakishindwa kukuroga hata sumu unawekewa. Ndugu yangu mmoja afya imekuwa mgogoro mwaka wa 3 sasa... alipigwa sumu kali sana, mpaka leo haja-recover fully.
 
We acha tu.... wanapigana vipapai hatari... wakishindwa kukuroga hata sumu unawekewa. Ndugu yangu mmoja afya imekuwa mgogoro mwaka wa 3 sasa... alipigwa sumu kali sana, mpaka leo haja-recover fully.
Nani huyo boss, hata wenyewe wanajua ule msemo trust no one hata kwa wenyewe wanazungukana sana.
 
Wewe uko idara gani hapo?
 
Hicho kitengo kina zana zote usipokuwa fit.. Unaondoka unajiona
Kuna mwingine naye wa idara hiyo hiyo aliondoka kimchezo mchezo hapo hapo Mzena na kuzikwa kwao Iringa mwisho wa mwaka juzi.
Kunani hapo P...
 
Take it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
Wa zenji Wana majungu na roho ya kwanini Hussein Mwinyi ana kazi ngumu Sanaa ya kuongoza jamii ya wa Zanzibar
 
Muislamu huyo hawa jamaa wanapendana sana mkiristo ukiwa huko wanakutemea mate, nilikaa miezi sita nikaondoka huko wabaguzi sana hawa wavaaa pedo
Wabaguzi kuliko watu weupe Yani kijana waki Zanzibar harusiwi na familia kuoa mwanamke kutoka Tanganyika ata kama mwanamke ni dini moja wazaz hawataki, Mwanaume kutoka Tanganyika una ruhusiwa kuoa mwanamke waki Zanzibar ili mradi uwe muislamu Tu nakama siyo muislamu unatakiwa uslimu uingie kwenye uislamu wa Zanzibar wata kupenda watakupa nyumba yakuishi na kaz watakupatia na kama umesoma ukitaka kusoma nje watakupeleka kujiendeleza
 
Kuna mmoja yeye alipata kichaa kabisa mpaka leo akili zake zimeruka, alikua medical assistant hapo mzena, kijana mdogo ila anatia huruma

Yupo kwao magomeni wanamfunga tu kamba
Vyombo vya usalama vimejaa incompetent people, ukionekana tu una uwezo au akili jipange sawa sawa. Kuna jamaa kidole atolewe jicho alipokuwa kozi Monduli, makusudi tu mwenzake akataka kumchoma na singe.
 
Poleni sana wafiwa , Mnachotakiwa kufahamu ni kwamba Zanzibar inao watu wa kufanya hizo kazi .

RIP ocampo wa Mwinyi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…