Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Mwambie tu simple ni Ocampo mwenzangu atajiongeza mwenyewe[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie tu simple ni Ocampo mwenzangu atajiongeza mwenyewe[emoji848]
Wazee wa kikurya hao[emoji23][emoji23][emoji23]Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP mzee Chilangi.
We acha tu.... wanapigana vipapai hatari... wakishindwa kukuroga hata sumu unawekewa. Ndugu yangu mmoja afya imekuwa mgogoro mwaka wa 3 sasa... alipigwa sumu kali sana, mpaka leo haja-recover fully.Kumbe ni mule ndani, watumishi mule wanaroga sana kupigania migongo huwenda alitupiwa jini likammaliza kimyakimya?
Pole sana kwako na apumzike kwa amani M.K.M namfahamu vyema huyu kijana.
Nani huyo boss, hata wenyewe wanajua ule msemo trust no one hata kwa wenyewe wanazungukana sana.We acha tu.... wanapigana vipapai hatari... wakishindwa kukuroga hata sumu unawekewa. Ndugu yangu mmoja afya imekuwa mgogoro mwaka wa 3 sasa... alipigwa sumu kali sana, mpaka leo haja-recover fully.
Jina kapuni.... lakini kila nikimuona huwa naumia kinoma, jamaa amekondeana hatariNani huyo boss, hata wenyewe wanajua ule msemo trust no one hata kwa wenyewe wanazungukana sana.
Mguu umevimba harafu hawaoni ugonjwa: kwahiyo kuvimba mguu siyo ugonjwaJamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko idara gani hapo?Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya. Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali. Dr. Mwinyi alivyopitishwa na CCM Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji. Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni. Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]
Kuna mwingine naye wa idara hiyo hiyo aliondoka kimchezo mchezo hapo hapo Mzena na kuzikwa kwao Iringa mwisho wa mwaka juzi.Hicho kitengo kina zana zote usipokuwa fit.. Unaondoka unajiona
Alikula sana vya watu kwa kweli.Labda kala vya watu
Wa zenji Wana majungu na roho ya kwanini Hussein Mwinyi ana kazi ngumu Sanaa ya kuongoza jamii ya wa ZanzibarTake it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
Wabaguzi kuliko watu weupe Yani kijana waki Zanzibar harusiwi na familia kuoa mwanamke kutoka Tanganyika ata kama mwanamke ni dini moja wazaz hawataki, Mwanaume kutoka Tanganyika una ruhusiwa kuoa mwanamke waki Zanzibar ili mradi uwe muislamu Tu nakama siyo muislamu unatakiwa uslimu uingie kwenye uislamu wa Zanzibar wata kupenda watakupa nyumba yakuishi na kaz watakupatia na kama umesoma ukitaka kusoma nje watakupeleka kujiendelezaMuislamu huyo hawa jamaa wanapendana sana mkiristo ukiwa huko wanakutemea mate, nilikaa miezi sita nikaondoka huko wabaguzi sana hawa wavaaa pedo
Kuna mmoja yeye alipata kichaa kabisa mpaka leo akili zake zimeruka, alikua medical assistant hapo mzena, kijana mdogo ila anatia hurumaJina kapuni.... lakini kila nikimuona huwa naumia kinoma, jamaa amekondeana hatari
Inashangaza .from dar to musoma kwa matibabu???Kwahiyo aliacha tiba sahihi akaenda kwenye tiba za kulala juu ya mawe!
Vyombo vya usalama vimejaa incompetent people, ukionekana tu una uwezo au akili jipange sawa sawa. Kuna jamaa kidole atolewe jicho alipokuwa kozi Monduli, makusudi tu mwenzake akataka kumchoma na singe.Kuna mmoja yeye alipata kichaa kabisa mpaka leo akili zake zimeruka, alikua medical assistant hapo mzena, kijana mdogo ila anatia huruma
Yupo kwao magomeni wanamfunga tu kamba
Poleni sana wafiwa , Mnachotakiwa kufahamu ni kwamba Zanzibar inao watu wa kufanya hizo kazi .Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya. Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali. Dr. Mwinyi alivyopitishwa na CCM Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji. Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni. Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]
Aiseeee !!Jamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe uko idara gani hapo?
Wengine wanaugua ngoma wanasingizia kuroganaJina kapuni.... lakini kila nikimuona huwa naumia kinoma, jamaa amekondeana hatari
Siku hizi ngoma sio issue ndugu.... ARV zimejaa kwa wingi. Sometimes bora ngoma kuliko mambo ya gizaWengine wanaugua ngoma wanasingizia kurogana