TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro


Mbowe sio gaidi
 
Angestuka mapema apangiwe kituo kingine cha kazi, hivi tunakwama wapi wazenji wamempa Red
Uchawi wa zanzibar ni hatari hawa kiboko yao ni kuwafungia safari ya congo unaenda kuzikwa siku tatu ukifukuliwa kutoka kaburini uchawi wao ni punje tu na yoyote atakayejitia kiherere anaenda kubusu miguu ya shetani kuzima.
 
Pia hakuna competent Medical doctors pale, pia uchawi umetamalaki sana ndani mule jumulisha majungu na fitina kama zote kama wewe ni mwepesi huchukui round wanafukia futi sita.
Daaaah umenichekesha Sana Aiseeeh mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah umenichekesha Sana Aiseeeh mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Take it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
 
Uchawi wa zanzibar ni hatari hawa kiboko yao ni kuwafungia safari ya congo unaenda kuzikwa siku tatu ukifukuliwa kutoka kaburini uchawi wao ni punje tu na yoyote atakayejitia kiherere anaenda kubusu miguu ya shetani kuzima.
Huo ujasiri unao wa kuzikwa siku tatu?
 
Jamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapo ukiona mtu anaumwa lakin akifanyiwa vipimo haoni ugonjwa, ujue karma ya kiafrika imempata. Tatizo mkiwa kwenye system mnaona mna mamlaka juu ya viumbe wenzenu kuwafanyia lolote ili kuwafurahisha watawala...
 

Unaelewa maana ya 'secrete' ?
 
Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.
Anarudishwa Musoma badala ya kupelekwa kwa matibabu kwenye hospitali kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…