Eheee nasubiri muendelezo kwa hamuMimi najuwa kiini cha mgogoro wa Nkwera dhidi ya Kanisa kwa kiwango cha juu sana.
Pengine Nkwera asingekuja Dar es Salaam huo mgogoro usingetokea. Ngoja nikupe kiini sasa
Hadi 1990 Askofu wa Dar es Salaam alikiwa Laurean Cardinal Rugambwa (RIP), Nkwera alikuwa hana shida na huduma zake japo alikuwa hajapokelewa na jimbo la Dar. Alijulikana kama Padre mtoro. Mwaka huo huo Pengo akawa Askofu Msaidizi (Coadjutor Archbishop) wa Dar es Salaam chini ya ulezi wa Rugambwa.
Ilipofika mwaka 1992 baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar ndipo shida za Fr Felician Nkwera zikaanza.
Nitaendelea......
Yesu alifanya.Katoliki wapo sahihi hakuna binadamu anaweza kumtibu mtu kwa maombi
Mbona Emaus na Agape ni vituo vinavyofanya hizo huduma na kuna mapadre kabisa wanafanya ibada za misa za uponyaji yupo father Msafiri, Father Rimisho na Father Ndemasi na wengine nimewasahau majina .Katoliki wapo sahihi hakuna binadamu anaweza kumtibu mtu kwa maombi
Well said!Yesu alifanya.
Paul alifanya.
Na Watumishi wengi kwenye Biblia walifanya....!
Wewe hujui Kwa Nini Kanisa Katoriki limezuia, Wacha nikupe Darasa.
Mungu ametoa Karama 5 Kwa Watu wake.
1. Pastor, Apostle, Evanjalist, Teacher and Prophet.
Katika hizo Karama Wapo waliopewa Karama za Uponyaji kupitia Jina la YESU, na hakuna Shule utaenda Duniani ukafundishwa kuwa Pastor ama Apostles, ni Mungu mwenyewe Ndo anaweka hiyo Spirit Kwa Mtu.
Kanisa Katoriki Lina Mapadre wa Aina 2, Wapo Mapadre Wana Karama za Uponyaji, wapo Mapadre Wana Karama za Kinabii kina Suguye wakasome, wapo Mapadre wana Nguvu za Uponyaji Mwamposa akasome, na Wapo Mapadre wa kawaida wasio na hizo Karama.
Ukikuta Padre wa Kikatoriki mwenye Karama za Uponyaji Tena Huwa hawana story mingi, utasikia " Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, ninakuamuru............!" Mapepo ama Ugonjwa unaachia, hawana makelele Yale ya "Katika jina la Yesu....."
Binafsi nimehudumu Kanisani nikiwa Kijana Mdogo, wale Vijana ambao husaidia Mapadre kwenye Misa, nimewahi kutumika Kwa Siri na Padre mwenye nguvu ya Uponyaji, akifanya maombezi Kanisani Kwa Siri na Usiku alfajiri, siku 1 Kwa week, Mimi nimkimsaidia huyo Padre, nimeshuhudia Kwa Macho yangu watu wakipona Kila week.
Kanisa Katoriki limezuià hizo huduma Kwa sababu kutakua na Vurugu kanisani wakiruhusu, utakuta Padre ana Karama ya Uponyaji na Askofu wake Hana, itapelekea Padre kuwa na Nguvu Kanisani kuliko Askofu, na baadaye Kanisa litakua na Migogoro.
Ni Sasa baada ya kufumuka haya Makanisa ya kilokole na huduma za kuombea watu, Kanisa Katoriki nao wameanzisha huduma za maombezi ambazo wanaziita Karesmatiki, na huduma hizo zinasaidiwa na Mapadre ama Masister ama Walei wenye Karama ndani Yao, lakini hizo huduma zimetengwa kwenye vituo Maalumu, na hazifanyiki Makanisani.
Kwa hiyo hapo ni roho mbaya ya cardinal pengoMimi najuwa kiini cha mgogoro wa Nkwera dhidi ya Kanisa kwa kiwango cha juu sana.
Pengine Nkwera asingekuja Dar es Salaam huo mgogoro usingetokea. Ngoja nikupe kiini sasa
Hadi 1990 Askofu wa Dar es Salaam alikiwa Laurean Cardinal Rugambwa (RIP), Nkwera alikuwa hana shida na huduma zake japo alikuwa hajapokelewa na jimbo la Dar. Alijulikana kama Padre mtoro. Mwaka huo huo Pengo akawa Askofu Msaidizi (Coadjutor Archbishop) wa Dar es Salaam chini ya ulezi wa Rugambwa.
Ilipofika mwaka 1992 baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar ndipo shida za Fr Felician Nkwera zikaanza.
Nitaendelea......
😄😄😁😁😁😆😆😆😆wakikiri kwa kinywa na maandishi kwamba wameponywa huku rozari, maji ya baraka na sala vikiwa ndio msingi mkuu wa maombi yaliyopelekea kuponywa huko. Shuhuda za uponywaji wa wagonjwa zinaandikwa ama kusimuliwa na wahusika wenyewe.[3]
Alikuwa anatumia ekaristi vibaya kwa kuwawekea sehemu za siri wanawake wenye shida ya uzazi
HUU NI UWONGO TOSHA, hiki unachosema umeshawai jionea kwa macho yako mwenyewe???, tatizo mnasikia vitu vya kipuuzi na uwongo na nyinyi mnavisambaza bila uchunguzi kama ni kweli au laa! jamani tuepuke kusambaza uwongo hasa taarifa zinazochafua watu wa Mungu!!!, tumia nguvu zako kutafuta kweli ya Mungu, sio kusambaza upuuzi ambao hujajionea mwenyewe kwa macho yako!, nimesikitishwa mno na jinsi watu mpo bize kusambaza huu uwongo na kumchafua mtu huyu wa Mungu asie na hatia, Pale kwenye kituo cha maombi, Ekaristi Takatifu inaheshimiwa mno, tena mnoo kuliko, ndio maana hata kuipokea, unatakiwa uipokee kwa unyenyekevu, kwa magoti na kwenye ulimi tu, kuepuka chembe zilizobakia kwenye mkono kupanguswa kwenye nguo, kudondoka na kukanyagwa!, sijawai ona huu upuuzi uliosema hapo juu ukifanyika pale.Alikuwa anatumia ekaristi vibaya kwa kuwawekea sehemu za siri wanawake wenye shida ya uzazi
Pole kwa familia mkuu, marehemu anapewaje poleDuuh polee yake.
😂😂😂😂😂Pole kwa familia mkuu, marehemu anapewaje pole
😀😀 imani za dini zikizidi zinageuka uchiziNa wakati huo wale wanoko walikuwa wanakagua wakati wa kwenda kupokea ekaristi takatifu kuhakikisha wafuasi wa fr nkwera hawapokei ekaristi takatifu.
😳😳😲Cc wakatumeni @BICHWA KOMWE - na mwenza wake @secretarybird
2018 nilisali hapo kibanda cha mkaa... Mwanzoni nilihisi nimekosea kanisa labda hawa sio wakatoliki kutokana na makelel yao ya kuomba na nyimbo za maapambio na kunena kwa lugha(?)... Padre alivyoingia ndio misa rasmi ya kikatoliki ikaanzaEmaus centre: Ukifika daraja la kijazi kama unaelekea Mwenge upande wa kulia kuna ile petrol station sasa kwa mbele hatua chache tu utaona kibao na njia inayoelekea Emaus center. Huduma ni kila siku.
Pia kuna Agape center ipo Mbezi Kibanda cha mkaa kuna huduma ya Karismatiki pia.
Yule nkwera wa TIA kichwa cha mathematics na financial management ni ndugu yao..?Katoliki wana taratibu zao.Jamaa wakati Pengo bishop wa Dar es salaam.wwalikuwa wanakingiana kifua(Nkwera akiambiwa afuate kanisa livyotaka-alikuwa anambishia (walisomaga wote seminary)- ila jamaa was talented..akiwa anaenda soma Masters pale UDSM alikuta one of his Book ni part ya syllabus ya Degree yake! 😃😄jamaa kwao wote ni vichwa. Kuna mdogo ake pia alikuwaga pale DIT alikuwa academically yupo vizuri
Kama siyo karismatiki lazima uone ni makelele2018 nilisali hapo kibanda cha mkaa... Mwanzoni nilihisi nimekosea kanisa labda hawa sio wakatoliki kutokana na makelel yao ya kuomba na nyimbo za maapambio na kunena kwa lugha(?)... Padre alivyoingia ndio misa rasmi ya kikatoliki ikaanza
Asante sana kwa maelezo haya, japo swali bado linakuja ilikuwaje kwa Askofu Mgulunde na hata kwa Kardinali Pengo?
Wote walikua na chuki nae?
Mimi najuwa kiini cha mgogoro wa Nkwera dhidi ya Kanisa kwa kiwango cha juu sana.
Pengine Nkwera asingekuja Dar es Salaam huo mgogoro usingetokea. Ngoja nikupe kiini sasa
Hadi 1990 Askofu wa Dar es Salaam alikiwa Laurean Cardinal Rugambwa (RIP), Nkwera alikuwa hana shida na huduma zake japo alikuwa hajapokelewa na jimbo la Dar. Alijulikana kama Padre mtoro. Mwaka huo huo Pengo akawa Askofu Msaidizi (Coadjutor Archbishop) wa Dar es Salaam chini ya ulezi wa Rugambwa.
Ilipofika mwaka 1992 baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar ndipo shida za Fr Felician Nkwera zikaanza.
Nitaendelea......
Mbona Emaus na Agape ni vituo vinavyofanya hizo huduma na kuna mapadre kabisa wanafanya ibada za misa za uponyaji yupo father Msafiri, Father Rimisho na Father Ndemasi na wengine nimewasahau majina .
Kesho nikaone2018 nilisali hapo kibanda cha mkaa... Mwanzoni nilihisi nimekosea kanisa labda hawa sio wakatoliki kutokana na makelel yao ya kuomba na nyimbo za maapambio na kunena kwa lugha(?)... Padre alivyoingia ndio misa rasmi ya kikatoliki ikaanza
Baada ya mwaka 1993 Fr Nkwera ndipo akapewa mashtaka yafuatayo:-Eheee nasubiri muendelezo kwa hamu