Naisi kulikuwa na personal beef kati ya Padre na Askofu Pengo (uhenda toka kipalapala huko) nna jamaa yagu alisomaga Seminary ndogo (form one-Six) Darasa Lao limetoa mapadre wengi na Askofu mmoja hapa Tanzania.Alifanikiwa kuchaguliwa kuendelea na masomo ya upadre Seminary kuu moja nchini Kenya- Mwalimu wake mmoja (Bruda- sio Padre ni mtawa anaweka Nadhiri ya kutooa mpaka kifo)wa huku Seminary Ndogo (alikuwa na personal beef na jamaa-siwezi sema hapa najua ugomvi waoHilo nakubaliana nalo asilimia 100. Padre Pio alifungiwa kwa muda asifanye public services.
Na hata Fatima ilichukua muda kusema hii message haina kasoro.
Mtakatifu Bernadeta pia alipitia mlolongo huo huo....
Lakini sio yaliyokuwa yanafanyika jimbo la Dar Es Salaam.
Ile ni aibu kubwa sana. Maana ni kazi kabisa ya luciferi. Kupigana kanisani. Kuleteana ubabe na mpaka kupelekana mahakamani
Hivi walikua wakinena Kwa Lugha pia...!?2018 nilisali hapo kibanda cha mkaa... Mwanzoni nilihisi nimekosea kanisa labda hawa sio wakatoliki kutokana na makelel yao ya kuomba na nyimbo za maapambio na kunena kwa lugha(?)... Padre alivyoingia ndio misa rasmi ya kikatoliki ikaanza
Hicho kilikuwa ndiyo kipindi cha uhayawani wa hali ya juu katika historia ya Kanisa ndani ya Jimbo Kuu la Dar es SalaamHilo nakubaliana nalo asilimia 100. Padre Pio alifungiwa kwa muda asifanye public services.
Na hata Fatima ilichukua muda kusema hii message haina kasoro.
Mtakatifu Bernadeta pia alipitia mlolongo huo huo....
Lakini sio yaliyokuwa yanafanyika jimbo la Dar Es Salaam.
Ile ni aibu kubwa sana. Maana ni kazi kabisa ya luciferi. Kupigana kanisani. Kuleteana ubabe na mpaka kupelekana mahakamani
Hicho kilikuwa ndiyo kipindi cha uhayawani wa hali ya juu katika historia ya Kanisa ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Mbona wakatoliki wana chama cha kotume wanajiita wacharsmatic ni wana maombi kwelikweli wanasali kama walokole kabisa.Madhehebu mengi hasa haya ya Katoliki, Anglican na Lutheran hayataki wokovu, yaani hayataki maombi, ukifanya maombi yanataka sheria zao kama litrugia, unatengwa na kanisa ukifanya hayo na hii ndio sababu wahubiri wengi wameamua kuacha Madhehebu na kuanzisha makanisa yao...
Charismatic ni kweli wanasali kama walokole lakini sessions zao haziingiliani na liturjia ya misa ya Parokia yeyote.Mbona wakatoliki wana chama cha kotume wanajiita wacharsmatic ni wana maombi kwelikweli wanasali kama walokole kabisa.
Hata wakubwa kukuzidi hawawezi kumjua kila mtu,na umri wangu mdogo nimesikia huduma yake (sio padre) kupitia jamaa ambaye ni ndogo kwangu.Dah JF ya sasa ina vijana wadogo wengi sana inaonekana, haya majina maarufu wanauliza ni nani?!
Anyway RIP Fr. Nkwera, umeishi maisha yako na yamegusa watu wengi sana, upate pumziko la milele Amen
Poa sumbe sio big deal! Apumzike kwa amani tu kaka ndio kikubwa , sgd wp hiyo?😎Hata wakubwa kukuzidi hawawezi kumjua kila mtu,na umri wangu mdogo nimesikia huduma yake (sio padre) kupitia jamaa ambaye ni ndogo kwangu.
Fuatilia/uliza uliowaacha kwenye eneo hilo,kwa maelezo yako alishaingia matatani na viongozi wa juu wa kanisa ana akasimamishwa huduma.Kw Lutheran, naweza sema labda baadhi ya Dayosisi zinaweza kuwa na utaratibu huo.
Kuna mwinjilisti mmoja namfahamu alikuwa anatupigisha sana maombi, na mahubiri yake yalikuwa yanavutia sana full hamasa. Kuanzia morning glory, ibada za katikati ya wiki, semina na jumapili. Mpaka nilipokuja kuhama huko, sijawahi kuskia kuwa amekatazwa kuendesha maombezi.
Sgd nyumbani hujakosea ndugu japo utafutaji kwa sasa nipo mbali kidogo.PMPoa sumbe sio big deal! Apumzike kwa amani tu kaka ndio kikubwa , sgd wp hiyo?😎
Nitaomba tag mkuu nitashukuru sanaLong story. Nikipata muda nitaweka version yangu.
Huyu ni Mwalimu wangu wa Sarufi Milambo Secondary akiwa anahudumu chini ya Askofu Mihayo. Ni mzaliwa wa Ludewa na alipata Upadre Jimbo la Njombe by then. Ila alishindwa kuelewana na Askofu Mwanyika na hapo ndipo akakimbilia jimbo la Tabora
Yawezekana misimamo ya watu kama marehemu padre nkwera wamelipa kanisa msukumo kuona namna ya kubaki na mapadre wenye karama ndani ya kanisa...wangejitenga wote ingekua mwanzo wa anguko la kanisa.Mbona Emaus na Agape ni vituo vinavyofanya hizo huduma na kuna mapadre kabisa wanafanya ibada za misa za uponyaji yupo father Msafiri, Father Rimisho na Father Ndemasi na wengine nimewasahau majina .
Kibanda cha mkaa niliwahi kusali pale kwaya yetu ilienda kuhudumu kwa mualiko,emaus center pia.Binafsi hizi sehemu sikukubali namna yao ya kusali wale ni walokole pure wanaweka ukatoliki kidogo hasa ekaristi.2018 nilisali hapo kibanda cha mkaa... Mwanzoni nilihisi nimekosea kanisa labda hawa sio wakatoliki kutokana na makelel yao ya kuomba na nyimbo za maapambio na kunena kwa lugha(?)... Padre alivyoingia ndio misa rasmi ya kikatoliki ikaanza
Kwani ulokole ni mbaya ndugu?Kibanda cha mkaa niliwahi kusali pale kwaya yetu ilienda kuhudumu kwa mualiko,emaus center pia.Binafsi hizi sehemu sikukubali namna yao ya kusali wale ni walokole pure wanaweka ukatoliki kidogo hasa ekaristi.
Sipendezwi na namna yao ya kuongea na Mungu wangu...vurugu ni nyingi.Kwani ulokole ni mbaya ndugu?
kiongozi unaweza kufafanua kauli hii?Hakika huyu baba alikua mtumishi wa Mungu aliye hai