TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

Kumbe kuna kutengwa tena? Hii dini full ubaguzi, kwenye nafasi yakua Papa mnatengwa hamna Papa mweusi na nyie wenyewe kwa wenyewe mnatengana kanisani , hiyo ni dini au matatizo?
Nikajua ni kule nchi za watu weupe tu kumbe hata sisi waumini na mapadre tunatengana
 
Nikajua ni kule nchi za watu weupe tu kumbe hata sisi waumini na mapadre tunatengana
Dini ina ubaguzi hiyo siyo mchezo hadi kuzikana huwa wanatengana kuna watu huwa kanisa linakataa kuwazika na ni wakatoliki wenzao
 
Ndiyo mwanzilishi wa charismatic nini nini sijui aliyejitenga/tengwa kutoka Roman Catholic?
 
Huyu mwamba,miaka 90 alijitenga na kanisa la Roma, kibri ilimuingia kwa vile aliona ana upako wa kuponya watu, akajitenga akaanzisha huduma yake ya kuombea watu na kutoa maji ya Baraka! Nakumbuka wakati mtiani wa darasa la Saba umefika, wazazi kibao walikuwa wanapereka watoto wao wawekewe maji ya Baraka na kuombewa! Wapiii, wengi wao waliangukia pua tu!
Nikiona kenge wanakimbilia kwa mwamposa, kukanyaga mafuta na maji, huwa najiuliza ujinga huwa hauishi? Hizi abracadabra kama za mwamposa na kuhan Musa, tuliziona tangu 90s!! Sema aminaaaa(kwa sauti ya mpambe wa kuhan Musa)
 
Kwa sababu ya Karama ya Uponyaji aliyokua nayo.... Na Kanisa Katoriki haliruhusu huduma ya Uponyaji miongoni mwa Mapadre wake.
Acha uongo kikuu ni kukiuka mafundisho ya kanisa ktk msimamo na mafundisho ya kanisa katoliki.
 
Kumbe kuna kutengwa tena? Hii dini full ubaguzi, kwenye nafasi yakua Papa mnatengwa hamna Papa mweusi na nyie wenyewe kwa wenyewe mnatengana kanisani , hiyo ni dini au matatizo?
Bora kutengwa

Kuliko nyie mnaopigana mapanga na kupigana mabomu mixer kutupiana majin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…