Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Aisee mpaka chozi limenitoka.
Kwa sababu wanaoshabikia Chadema wanaonekana na watawala. Na I'm sure viongozi wao wa maeneo hayo wanawaona wanavyoishabikia Chadema.

I'm sure they will have hard times ahead. Sana tena. Maskini Lissu atakua kashaondoka. Tuseme na Lissu akashindwa na uchaguzi. Life baada ya hapo haitakua sawa kwa baadhi yao. I feel aisee kwa hawa watu.

Ila Mungu atawasaidia.
Sometimes I wonder why enzi za Kikwete na Mkapa uonevu wa waziwazi ulikua haufanyiki jamani.
Basi kama vipi vyama vingi tufute mpk Magufuli amalize uraisi.
 
Ukiona katika nyumba watoto wanafanya uovu wa kujirudia rudia kisha baba yupo kimya bila kukemea hapo upaswi kutojua moja jumlisha moja ni mbili
 
Shetani akimbiwi, hukabiliwa kwa maombi
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
CCM wapuuzi sana, hivi ninyi mnaishi sayari gani? Laurent Gbagbo wa Ivory cost na dikteta mwenzake wa Gambia waling'oka vipi? Magufuli anawashinda ubabe wale Washenzi?
Zama zimebadirika, hata ninyi mnaotegemea KUPORA na KUKIMBIA na masanduku ya kura mtashangazwa sana safari hii.
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
Nyie ndo masalia mliobaki mnarusharusha miguu kabla ya kukata roho tar. 28/10
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
Umemaliza kubridi uvue pedi maana sio akili yako
 
Sasa hivi Lissu kaikamata Nyanda za juu kusini Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini sasa kilichobakia Daresalama aende kumalizia kazi
Ratiba yake ya dar ni lini??
 
Haya yote hatukuyajua mwanzo
 
Hata kama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…