Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Watanzania wenye hali ngumu wanaona ukombozi kwa huyu jamaa maana hakuna wa kuwasemea. Maana ukilalamika kuwa vyuma vimekaza, unakiona cha moto
 
Well said!
Wananchi kwa miaka 5 ni choka mbaya hawana hela ya kuingilia kwenye show za Wasanii hivo CCM inajua kabisa ikiwalipa Wasanii na kuja kutumbuiza bure mbele za Wananchi basi Wanafikiri watapata kura xote...!!
Ccm inawatumia wasanii kwenye kampeni kuwapumbaza wananchi wasahau machungu yao
 
Itapigwa abra cadabra utaambiwa papa mukulu ameshinda kwa kishindo landslide victory asilimia 95 hapo ndio huwa hata mm nashindwa kuelewa!!!
mahesabu hayo ni ya namna gani!?
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimemwona Jiwe akiwaomba Wanakawe eti wamletee Gwajima!!
Aliporudia hayo maneno Mara 4 kuwa, ".... NILITEENI GWA-JIMA" akitamka jina hilo kwa lafudhi ya Kisukuma....nikajua JIWE AMECHANGANYIKIWA NA YUKO TOTALLY FRUSTRATED!!
This time Magufuli "Jiwe" amekutana na Lissu "Mwamba".
Hii ni sawa na ile hadithi ya Mzee Mwinyi kulinganisha Kichuguu na Mlima Kilimanjaro🤣🤣🤣
 
Itapigwa abra cadabra utaambiwa papa mukulu ameshinda kwa kishindo landslide victory asilimia 95 hapo ndio huwa hata mm nashindwa kuelewa!!!
mahesabu hayo ni ya namna gani!?
Safari hii hiyo Biashara ya abra cadabra imethibitiwa na haina nafasi. Matokeo ya Kura za Urais Uchaguzi huu yatafurahisha kweli.....Tukutane hiyo tarehe 28 Okt,2020.
 
Hamna lolote,amuulize lowassa kilichomkuta,he is wasting his time
sidhani kama anapoteza muda wake........... ukweli ni kwamba abajenga chema na kupata wafuasi wengi, wabunge, madiwani na kila chaguzi zinavyiendelea wafuasi wanaongeza na kuna siku CCM watashindwa na watakuwa chama cha upinzani time will tell us. Lengo sio kushinda urais mkuu.
 
Kumbe hata kuandika hujui. Ndio maana CCM inawatumia wajinga kama nyie.

Ngoja nikusahihishe siku nyingine uandike vizuri.
Balabala....... Barabara
Rakini............lakini
Akushinda..... Hakushinda
Ulais.......urais
Yani ni aibu nimeona mimi
 
Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Ndege wafananao huruka pamoja.
Aina ya watu wanaomzunguka mtu ni wale wa tabia yake.
Na hao wote amewainua yeye sababu wanatabia anazozihitaji.
Alikataa mwanga akachagua giza/kiza, na sasa anajikwaa kila wakati.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hakika Ni ujinga na upuuzi kwa Umri wa Rais Magufuli KUFUATA USHAURI WA VIJANA WAVUTA BHANG Kama kina MAKONDA, GAMBO,CHALAMILA, KIBAJAJI, MSUKUMA, etc akaacha kuchota Busara za WAZEE k.m. MZEE MWINYI, MZEE MKAPA, MZEE KIKWETE etc. Kikwete aliwahi kushauri akasema, UPINZANI SIYO UADUI lakini akapuuzwa kwa kuambiwa "ANAWASHWA". Mzee wa Msoga akaufyata!!
 
Hao jamaa wana njia nyingi sana za kuhujumu...

Ni sawa!!
Lakini jamaa wesha pewa "written warning in advance" na Jumuia za Kimataifa na nchi xinazoheshimika duniani......kwamba CCM, NEC na POLICE wakichezea kura this time there are consequences to follow!!!
Dunia yote macho yako Tanzania kutaka kuona Watz wakitumia DEMOKRASIA KUCHAGUA KATI YA MAENDELEO YA VITU NA WATU na KATI YA UHURU NA UONEVU WA CCM!
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
Rudi shule basi ukafundishwe kuandika vizuri kwanza
 
Huyu Magufuli nilimpenda sana kuanzia Nov 2015 mpaka Mei 2016. Kipindi hicho alinifanya niwe na fahari kuwa Mtanzania. Kwa kweli sijui nini kilitokea akabadilika na kuwa shetani kama alivyo leo. Kipindi hicho hata nchi nyingine zilituonea wivu kuwa na Magufuli. Sidhani kama kuna nchi yoyote ambayo kwa sasa inatamani kuwa na Magufuli tena. Mgema alisifiwa, tembo akalitia maji! Simpi kura yangu hata kidogo. Labda NEC wampe tu.

Back
Top Bottom