Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?

20241026_040341.jpg
 
Nauli watatoa wapi? Au watatembea kwa miguu juu ya lami?
Nauli haijawahi kuwa tatizo wakati hakuna lami, itakuwa tatizo kukiwa na lami?

Tukikosa nauli si tunakungoja wewe mwenye gari utuletee utumbo wa kuku ukichinja kwako, au utakwenda kuutupa na sisi wenye dhiki tupo?

Halafu nashangaa wakuja wanajazana kwenye dhiki, huko walipotokea kukoje?
 
Nauli haijawahi kuwa tatizo qakati hakuna lami, itakuwa tatizo kukiwa na lami?

Tukikosa nauli si tunakungoja wewe mwenye gari utuletee utumbo wa kuku ukichinja kwako, au utakwenda kuutupa na sisi wenye dhiki tupo?

Halafu nashangaa wakuja wanajazana kwenye dhiki, huko walipotokea kukoje?
Utumbo wa kuku natupa jalalani. Kama una dhiki lami ya nini? Kwa nini usipewe mtaji ili ujikomboe? Tril 1?
 
Ndiyo, tuliozaliwa na kukulia Dar , sisi na wazee wetu.

Hivi hujuwi hata nyerere alikuwa wakuja, alikaribishwa na wenyeji wa Dar?

Wewe ni wa Dar au wakuja?
Kwa hiyo mkizaliwa Dar ndio asubuhi mle mihogo na chachandu, mchana dagaa mchele na ugali na miguu ya kuku? Sisi huku Igunga tunaamka na supu ya kuku, mchana ugali nyama ng'ombe na mlenda. Usiku ugali nyama ng'ombe na maziwa mgando.
 
Hujajibu swali langu bado. Au umelisahau?
 
Back
Top Bottom