Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
We Kweli hujielewi mechi za hao wazee Kila siku zinarudiwa DStv na tunaziangalia hakuna la maana lolote kumzidi dogo lamine yamalDogo nimeanza kuangalia mpira before hujazaliwa. So have some damn respect for og’s
Kazi yangu inahusiana vipi na huu mjadala? Au labda Lamine Yamal tunamwingiliano wowote naye mpaka niwe na wivu?Wivu weka pembeni fanya kazi Kwa bidii na wewe utafikiwa
Pambana sana mkuu utafanikiwa tu ugumu wako wa maisha usiweke wivu Kwa dogo wa miaka 17Kazi yangu inahusiana vipi na huu mjadala? Au labda Lamine Yamal tunamwingiliano wowote naye mpaka niwe na wivu?
Hapa tunajadili football kumhusisha Yamal na si vinginevyo mkuu. Hoja ndiyo silaha kuu kuliko maneno yasiyofaa.
Pambana sana ugumu wako wa maisha usimchukie dogo wa miaka17BalloD'or hata fainali ya UEFA hajafika.
Kuna wachezaji wazuri zaidi yake, kama Ousmane Dembele, Lautaro Martinez ( wako fainali UEFA).
Kuna Mo Salah, Kyllian Mbappé n. k.
Hana tofauti na Rafinha, Bukayo saka (tena Saka ni mzuri zaidi)
Sawa mwenye maisha laini, unajua kila kitu na huna tatizo. Uko sahihi wakati wote. Wivu dhidi ya Yamal naacha 🙏Pambana sana mkuu utafanikiwa tu ugumu wako wa maisha usiweke wivu Kwa dogo wa miaka 17
Ndio ivyo acha wivu Kwa dogoSawa mwenye maisha laini, unajua kila kitu na huna tatizo. Uko sahihi wakati wote. Wivu dhidi ya Yamal naacha 🙏
Sawa! Uko sahihi kabisa! Ni ugumu tu wa maisha mkuu.Ndio ivyo acha wivu Kwa dogo
SawaSawa! Uko sahihi kabisa! Ni ugumu tu wa maisha mkuu.
SawaApewe Dembele
Duuh! Dogo unyang'anywe simu sasaWe Kweli hujielewi mechi za hao wazee Kila siku zinarudiwa DStv na tunaziangalia hakuna la maana lolote kumzidi dogo lamine yamal
Umemsahau NEYMAR jrRonaldinho huyu huyu ninaye mjua mimi,CR7 huyu huyu ninaye mfahamu na Messi huyu huyu acha utani dogo.
Kwanza umezaliwa mwaka gani dogo ?
Aiseeh huyu dogo ni mpuuziUmemsahau NEYMAR jr
Hujielewi wewe hata ningezaliwa 2015 lakini mechi za zamani za hao kina Ronaldinho Messi Ronaldo na Neymar Kila siku zinaoneshwa DStv au huna king'amuzi na tv unaishi chaka nini mzee kiasi kwamba unafikili mechi zikipita hazionyeshwi tena milele acha ushamba we mzeeRonaldinho huyu huyu ninaye mjua mimi,CR7 huyu huyu ninaye mfahamu na Messi huyu huyu acha utani dogo.
Kwanza umezaliwa mwaka gani dogo ?
Acha wivu Kwa dogo pambana na ugumu wAko wa maisha mzeeHapo tu Barca Raphinha ana numbers nzuri kuliko Yamal
Kwamba saka ni mzuri kuliko Yamal!(tena Saka ni mzuri zaidi)