Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho


Messi acha kumfananisha na hao wote uliowataja. Bado hakutokea mchezaji kama Messi.

Messi
Maradona
 
Kumfananisha na Ronaldinho, kumenifanya nikuone ni Mjinga wa kutupwa

Sasa Ronaldinho amemzidi nini Messi? Msiwe mashabiki wa majina. Hapo hakuna hata mmoja anaemfikia messi si kwa skills, dribbling wala kubeba matuzo/makombe.

Messi
Maradona
Pele
Di Stefano
.............................................................................

Zidane
Cr7
Johan Cruyff
Gaucho
Ronaldo de lima
Yamal

Pia unamkumbuka Requelme???
 
Unamuongelea Gaucho wa Buza au yule mchawi wa Brazil?. Huyo mtoto hajafika hata level za akina Neyma, Hazard. Hawa walitabiliwa kufanya makubwa lakini wakati ukawasaliti!.
Gaucho na Yamal ni mbingu vs Ardhi. Gaucho mpira ulimtii na alifanya anachotaka uwanjani.
 
Dogo hata goli 10 za ligi ameshindwa kufika, we jamaa hopeless kabisa
 
Dogo wa moto kweli kweli lakini ana safari ndefu ya kudhihirisha kipaji chake,
Hao uliowataja hawakufanya maajabu kwa msimu mmoja, wengine ni takribani misimu 15 wengine, 10 etc.

Kipaji pekee hakikufanyi kuwa bora hili cr7 kadhihirisha, ukizungumzia kipaji binafsi basi yule neymar ni wa moto mnoo, ana skills za hatari cr7 hapaswi hata kukaa nae karibu,
Ila kwenye ubora ronaldo kaonekana bora zaidi ya Neymar.

Ajitahidi, asiwe mtu wa starehe na majeraha yasimkute, majeraha ni adui mkubwa wa kipaji, de lima miaka 17 ama 19 alikuwa bora, takwimu zake ni bora kuliko zake bwana yamal lakini majeraha yalimharibu

Kila la kjeri kwake, sisi wapenzi wa football tunamuombea mema ili tuendelea kula burudani
 
Kwa umri wake tangu dunia iumbwe hakuna aliyewahi kuyafanya anayofanya kwenye soka.
 
Kumfananisha dogo na Messi,dinho,cr7 siyo sawa unawakosea heshima malegend
 
No offense dogo afanya vizuri, lakin kusema ni zaidi ya ronaldinho, messi, na ronaldo ni kuwatukana hao legends
Nakubaliana nawe mkuu, kuna vitu bado huyo dogo haja-offer katika ulimwengu wa soka ukilinganisha na hao legends.
 
Mtoto wa buku mbili anapojaribu kum-underate mchawi wa soka ronaldinho.
 
Of course Yamal hashikiki ila it's too early kumfananisha na malegends kama Lapulga.
 
Madogo wa gen z ndio maana kitu kidogo tu mmshakata tamaa.
 
Mo salah anacheza basketball ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…