Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

Unaforce uungwaji mkono!
 
Kuna watu hawana akili. Labda pia hawajui soka na pia hawajui vigezo vya mchezaji kupewa tu.

Lamine ni mzuri sana. Lakini njoo kwenye G+A contribution, kazidiwa na Salah, Rafinha, Dembele na wengine wengi.

Mataji bado kuna wengine wanaweza kumzidi msimu huu.

Lakini pia nataka kuwakumbusha watu kuwa hapo Barca kulishatokeaga teenage sensations kama Borjan Kricic, Giovan Dos Santos, Ansu Fati ila walipotea sana haraka.

I hope Lamine ata strive lakini kwa namna anavyotumiwa sana na Barca kuna potential ya kupata injury ambayo inaweza kumaliza his sparkling take off kwenye soka akawa kama hao niliowataja hapo juu
 
We akili huna rodri na modric canavaro walikua na Gori ngapi
 
Unaongea nini mzee? Kwani nimetaja magoli tu. Nimetaja na mataji pia. Halafu dogo usiniambie sina akili. Naweza kukufanya ukahama hapa JF muda si mrefu
We zuzu kweli dogo kabeba Mataji matano euro laliga super coppa laliga copa de espana Copa del rey hayo sio makombe ni makalio yako halafu muamishe mama Yako kwenye nyumba ya udongo Kwanza huko porini kwenu boya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…