Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,103
- 2,201
Huyu tukimuwahi kichaa kitapona waheshimu hao legends ulio wataja hapo... yamal yuko vizur but kinachombeba ni zama alizoibukia hamna competition sana sasa ww fikilia kipindi messi anaibukia uwanjani Kuna gaucho,samweli Etoo,DecoNimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Acha ujinga wewe unaanza kupiga ramli eti wangeibuka zama hizi unafikili mpira unaangalia peke Yako sio hizo mechi za hao wazee Kila siku DStv wanazionesha marudio tunaziangalia hamna jipya lolote mnakalia kuleta uongo wenu nyie wazee mnasahau kwamba hizo mechi zilikua zinarekodiwa na zinarushwa live na Sasa zinaoneshwa Kila siku DStv watu sio wajinga Karne hii baba Zima wivu acha wivu na kitoto Cha miaka 17Huyu tukimuwahi kichaa kitapona waheshimu hao legends ulio wataja hapo... yamal yuko vizur but kinachombeba ni zama alizoibukia hamna competition sana sasa ww fikilia kipindi messi anaibukia uwanjani Kuna gaucho,samweli Etoo,Deco
Sasa kwa akili ya kawaida unadhani hapo messi akiwa na miaka 17 angeweza kumuweka benchi gaucho
Au yamal mfano angeibukia ile Barcelona ya MSN unadhani angeweza kumuweka bench Neymar...kwahiyo heshimu hao ma legend
Jua hata Messi ,gaucho , cristiano Ronaldo
Wangeibukia zama hizi za kina yamal labda wangefanya makuu kuliko yamal
Tukiacha utani Kwa hawa mabeki wa sasa wanao nyanyaswa na yamal unadhani wangeweza kumkabili messi wa miaka 19
ambaye aliweza kuwasumbua mabeki
wakatili kuliko Hawa wa leo
Kwa umri wa miaka 17 na anayoyafanya ni zaidi ya Messi na Ronaldo Mimi sitaki kua mnafki hao Messi na Ronaldo nimewashuhudia na Kila siku games zao zinaoneshwa dstvAnacheza vizuri Sana Ila kinachoangaliwa ni consistence.
Messi na Ronaldo hawa wamekuwa na consistence ya miaka 15 Kama wachezaji prime.
So Endapo huyu Kijana akiwa na consistence ya miaka at least 10 basi anaingia katika kundi moja na akina Messi na Ronaldo.
Mfano
Mbape
Neymer
Hawa walianza vizuri sana Ila consistence hawana.
naunga mkono hoja. Hersi hajamuona? amvute jangwani paleNimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Kumbe kitoto cha alfu mbili sawa umeshinda baba yamal yamal hoyeeeAcha ujinga wewe unaanza kupiga ramli eti wangeibuka zama hizi unafikili mpira unaangalia peke Yako sio hizo mechi za hao wazee Kila siku DStv wanazionesha marudio tunaziangalia hamna jipya lolote mnakalia kuleta uongo wenu nyie wazee mnasahau kwamba hizo mechi zilikua zinarekodiwa na zinarushwa live na Sasa zinaoneshwa Kila siku DStv watu sio wajinga Karne hii baba Zima wivu acha wivu na kitoto Cha miaka 17
Bora Mimi kitoto Cha 2000 sio wewe kubwa jinga unajisifia umri mkubwa mfukoni na kichwani emptyKumbe kitoto cha alfu mbili sawa umeshinda baba yamal yamal hoyeee
Ukubwa dawa siunaona unavyotukana na kuongea ongea kama mwanamkeBora Mimi kitoto Cha 2000 sio wewe kubwa jinga unajisifia umri mkubwa mfukoni na kichwani empty
We ni kubwa jingaUkubwa dawa siunaona unavyotukana na kuongea ongea kama mwanamke
Yamal Vs Nuno Mendez nadhani ilikufungua akili usharudisha heshima kwa kina MessiAcha ujinga wewe unaanza kupiga ramli eti wangeibuka zama hizi unafikili mpira unaangalia peke Yako sio hizo mechi za hao wazee Kila siku DStv wanazionesha marudio tunaziangalia hamna jipya lolote mnakalia kuleta uongo wenu nyie wazee mnasahau kwamba hizo mechi zilikua zinarekodiwa na zinarushwa live na Sasa zinaoneshwa Kila siku DStv watu sio wajinga Karne hii baba Zima wivu acha wivu na kitoto Cha miaka 17
Acha wivu Kwa kitoto Cha miaka 17Yamal Vs Nuno Mendez nadhani ilikufungua akili usharudisha heshima kwa kina Messi
Nione wivu wa nini wakati future ya mpira IPO katika mikono salama ya Yamine ila kosa lako ni kuwakosea heshima kina Messi nakwambia yamal angekutana na beki kama segio ramosi, Pepe ukaona kama hatumpendi dogo majuzi kakutana na mtoto mwenzie mendes tena ambaye hata sio katili kapoteanaAcha wivu Kwa kitoto Cha miaka 17
Acha wivu na kitoto Cha miaka 17 fanya kaziNione wivu wa nini wakati future ya mpira IPO katika mikono salama ya Yamine ila kosa lako ni kuwakosea heshima kina Messi nakwambia yamal angekutana na beki kama segio ramosi, Pepe ukaona kama hatumpendi dogo majuzi kakutana na mtoto mwenzie mendes tena ambaye hata sio katili kapoteana
Sasa angekutana na mikiki ya kina ramosi beki ambazo kila mechi muhimu hawakosi kadi iwe njano au nyekundu si angechukia mpira huyu all in all namkubali yamal na atafanya makubwa katk kizazi chake ila bado Sana dogo ana safari ndefu mpka atoshee kulinganishwa na kina Messi , Ronaldo
Huna hoja mwenyewe umekubali tena ukasema Una TV unaona matukio ya zaman sasa Mimi sipo kwenye level za kufanya kazi ila hela inaingia nikiwa kitandani sasa nataka nikusaidie mtaji hata WA laki tanoAcha wivu na kitoto Cha miaka 17 fanya kazi