Nissan Armada naikubali sana hizi chuma sijui kwann hazipo midomoni mwa watu kama LC wakati nazo ni π₯π₯π₯Mwakani tutapishana na new Prados na Patros za kutosha.
Juzi nimekutana na Prado new model 2024 wabongo Wana pesa aisee...hata hii chuma nissan wametisha Sana kushinda ToyotaMwakani tutapishana na new Prados na Patros za kutosha.
Babuuu hiyo Prado ni balaa alafu jamaa hajaweka tinted ili aonekane na ina namba kama yangu EHPAisee inamaana mtu alinunua 0 km.
Mimi pia nimekutana nayo city centre, pia show room ya sokoine drive tayari zipo Prado 2024 na land cruiser 2024Juzi nimekutana na Prado new model 2024 wabongo Wana pesa aisee...hata hii chuma nissan wametisha Sana kushinda Toyota
Tuhurumieni aiseeeeeeMwigulu afanye jambo iwe zamu ya hizi chuma sasa huko serikalini
Itakuwa ni hiyohiyo aisee...Yule mwamba hata traffic wanamwogopaMimi pia nimekutana nayo city centre, pia show room ya sokoine drive tayari zipo Prado 2024 na land cruiser 2024
Bado vyuma vya kinyama vitabaki kuwa BMW na Range Rover/Land RoverNaona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300!
View attachment 3087256
Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951.
View attachment 3087255
Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio tena 5.6L!
View attachment 3087254
Ndani imekaa kishua sana, italeta upinzani wa kutosha kwa LC.
View attachment 3087257View attachment 3087258
Naona SU wanazipenda sana, tutegemee kuziona za kutosha mjini Dodoma.
Hao jamaa uliwataja hawana chao kwenye EV's kumbuka hao walikuwa wababe kwenye combustion engine Ila huku UMEME kuna makampuni ya ajabu yanaibuka kilasiku na Wanafanya vizuri sokoni hasa ulaya na AustraliaBado vyuma vya kinyama vitabaki kuwa BMW na Range Rover/Land Rover
Bado vyuma vya kinyama vitabaki kuwa BMW na Range Rover/Land RoverNaona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300!
View attachment 3087256
Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951.
View attachment 3087255
Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio tena 5.6L!
View attachment 3087254
Ndani imekaa kishua sana, italeta upinzani wa kutosha kwa LC.
View attachment 3087257View attachment 3087258
Naona SU wanazipenda sana, tutegemee kuziona za kutosha mjini Dodoma.
Itachukua muda sana kuwapiku.. Usiwaone wako kimya hawajakaa kizembe watakuja kumaliza ngebe zoteHao jamaa uliwataja hawana chao kwenye EV's kumbuka hao walikuwa wababe kwenye combustion engine Ila huku UMEME kuna makampuni ya ajabu yanaibuka kilasiku na Wanafanya vizuri sokoni hasa ulaya na Australia
Hawamwogopi yeye wanaogopa na kuheshimu gari hapo ukiwa na chuma kali watabaki kukusalimia mwaka mzima na kujichekesha uwape hela ya Lunch ukiwa na gari ngumu kama yangu trafik anakuja kanuna kama kaona adui..Itakuwa ni hiyohiyo aisee...Yule mwamba hata traffic wanamwogopa
Hahahaha π π π π π π πHawamwogopi yeye wanaogopa na kuheshimu gari hapo ukiwa na chuma kali watabaki kukusalimia mwaka mzima na kujichekesha uwape hela ya Lunch ukiwa na gari ngumu kama yangu trafik anakuja kanuna kama kaona adui..
Hapa mzee umeleta unazi kwenye hizo chumaππBado vyuma vya kinyama vitabaki kuwa BMW na Range Rover/Land Rover
Itachukua muda sana kuwapiku.. Usiwaone wako kimya hawajakaa kizembe watakuja kumaliza ngebe zote
Kumbuka hata mgeni rasmi huingia wa mwisho
Wape miezi miwili tu utaina waheshimiwa wanazo, km 0. Patrol naona wameipa V6 twin turbo similar to LC300Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300!
View attachment 3087256
Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951.
View attachment 3087255
Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio tena 5.6L!
View attachment 3087254
Ndani imekaa kishua sana, italeta upinzani wa kutosha kwa LC.
View attachment 3087257View attachment 3087258
Naona SU wanazipenda sana, tutegemee kuziona za kutosha mjini Dodoma.
Kuna watu nchi hii suala la kununua gari ni jambo dogo sana kwaoAisee inamaana mtu alinunua 0 km.