Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300!
View attachment 3087256
Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951.
View attachment 3087255
Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio tena 5.6L!
View attachment 3087254
Ndani imekaa kishua sana, italeta upinzani wa kutosha kwa LC.
View attachment 3087257View attachment 3087258
Naona SU wanazipenda sana, tutegemee kuziona za kutosha mjini Dodoma.