Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

Ni kama mashavu ya nanahiii
Yule kiongozi wa siasa asiyeeleweka
Anyway kwa mtazamo wangu mwonekano wa LC unavutia zaidi na kuliko Nissan, hii model yao naona kama imechuchumaa
1731400981384.jpeg
1731401077947.jpeg
 
Nissan alianza kupoteza grip kwenye market baada ya kushindwa kudevelop v8 na v6 diesel engines na kustick kwenye petrol engines pekee kwa hizI SUV zake.

Hoja yao ya kudump diesel kwa kigezo cha emmission itaeleweka kwa wazungu uko..sio kwa waafrika na waarabu.

Wangeforce hata kwa kuweka Ad blue kumeet izo emmission standards kama wenzao wa toyota. Diesel bado inanafasi yake kwenye SUV market.
 
ndani limekaa vibaya. mim kwangu tacoma litabaki kuwa gari bora.kwanza lina mode ya manual
 
Back
Top Bottom