Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

Izi mada zinaleta faraja kubwa kuliko kuwaza marushwa na uchafuzi wa mazingira, ndo maana kwetu wanaimbaga;
"sura mbaya...
lakini mimi ndege ntanunua" x 2
"Akimbo aka....
ko kanunu pakwimba twe bhapina" x 2
 
Tunashangilia ubunifu wa wengine wakati mpango mzima ni gari za umeme,kwanini revolution ya umeme inashindikana Na kwanini isiwe zetu wenyewe mbona Nigeria na Ghana wametengeneza gari nzuri tuu,huu ni utumwa likatizamwe hili pia.
 
Bado vyuma vya kinyama vitabaki kuwa BMW na Range Rover/Land Rover
Hao jamaa uliwataja hawana chao kwenye EV's kumbuka hao walikuwa wababe kwenye combustion engine Ila huku UMEME kuna makampuni ya ajabu yanaibuka kilasiku na Wanafanya vizuri sokoni hasa ulaya na Australia
Itachukua muda sana kuwapiku.. Usiwaone wako kimya hawajakaa kizembe
Hapa mzee umeleta unazi kwenye hizo chuma๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†
Nazielewa sana hizo chuma
 
Nimeona moja Dodoma kali sana imempakia โ€œnimekosa sanaโ€. Hadi nimesimama kuishangaa

Nissan kwa pale wameupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ