Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

Ila Landcruiser si V8!?
 
Kuna ile Nissan Armada ....asee ya moto sana. Ina interior ya kibabe sana
 
Bado sijaona chuma kama SGR
 
Ulichoongea ni sahihi kabisa mkuu, week iliyopita nilienda mzuzu na chuma moja hivi ya dogo, ilikuwa ni mwendo wa kupigiwa salute tu kwenye vizuizi. Dogo akawa anashangaa tu
Malawi ukiwa na mshine kali kwenye vizuizi unapigiwa salute kwanza kabla ya kuja kukaguliwa wao wanaamini mwenye chuma kali ni mtu wa Serikal
 
Machine zake nzuri ila wanafeli sana kwenye mashavu hayana mvuto
 
Tunashangilia ubunifu wa wengine wakati mpango mzima ni gari za umeme,kwanini revolution ya umeme inashindikana Na kwanini isiwe zetu wenyewe mbona Nigeria na Ghana wametengeneza gari nzuri tuu,huu ni utumwa likatizamwe hili pia.
Una hoja nzito. Uzingatiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…