Nissan alianza kupoteza grip kwenye market baada ya kushindwa kudevelop v8 na v6 diesel engines na kustick kwenye petrol engines pekee kwa hizI SUV zake.
Hoja yao ya kudump diesel kwa kigezo cha emmission itaeleweka kwa wazungu uko..sio kwa waafrika na waarabu.
Wangeforce hata kwa kuweka Ad blue kumeet izo emmission standards kama wenzao wa toyota. Diesel bado inanafasi yake kwenye SUV market.